Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Naomba nisiseme ukaishia kusikia nimenyakuiwa!.Mkuu P wewe unafikiri ni nini hatma ya hili sakata? Je kwa upande utakaoibuka mshindi watanufaika kwa lolote? Je kwa upande wa Taifa kuna manufaa yeyote?
P