Huyo mmbunge ujue katumwa 😅Tulipofikia ni hatari
Kama mbunge unasimama bungeni kumwita Yuda makamu wa Rais aisee na ni wachama chako
Lazima itakua hivyoHuyo mmbunge ujue katumwa 😅
Ndio michezo yao ccm wanajuana watavyo malizana. Wenyewe, kuna kitu kina tengenezwa hapoLazima itakua hivyo
Maana huu ujasiri sio wa kawaida
Tulipofikia ni hatari
Kama mbunge unasimama bungeni kumwita Yuda makamu wa Rais aisee na ni wachama chako
Wakidinywa dinywa wengi zaidi nitafanya sherehe hapa magetoni.Ngoja huyo mbunge naye adinywe, maana nasikia Nchimbi naye si haba.
KPia soma Dkt. Mpango simama kwenye safu yako, mwache Rais afanye kazi yake
Bi kizimkazi Huwa hataki challenge vinginevyo huyo chimbi naye atawekwa kando.
Akubmbukwe ndugai
Gwajima
Filipo mpango
Tulia
Tuombe mola huo mdinyo uwe dhahiri.Wakidinywa dinywa wengi zaidi nitafanya sherehe hapa magetoni.
Ni likisiki la mpingu?Kwa kesi ya Emma labda wamuue au wamsababishie ugonjwa wa kumfanya aache ofisi, kinyume na hapo labda akimbie yeye bimsumi.
K
Mimi sijui ila namtakia ashinde kila pambano.Ni likisiki la mpingu?
Tena wadinywe bila kinga washenz hawa.Tuombe mola huo mdinyo uwe dhahiri.