johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi bungeni unarehusiwa kusema chochote hata utopolo?Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama
Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie.
Source: ITV habari
Kazi Iendelee!
Kwa nini Mkuu mbona hoja fikirishi hiyoHivi bungeni unarehusiwa kusema chochote hata utopolo?
Kwani sifa za kuwa mbunge ni zipi?Hivi bungeni unarehusiwa kusema chochote hata utopolo?
Kwanini manka?Hili bunge!! Tutaona na kusikia mengi...
Hahahaaaa.......!tunapoekekea tutalazimisha usawa jeshini
Alafu mtoa hoja ni injiniaJeshi ni jambo lingine tofauti, ndo maana interview yake huhusishwa ukaguzi wa mwili mzima. Watu wenye nyayo isiyo na uvungu, matatizo ya macho etc hawanaweza kuwa not suitable. Naomba ieleweke hiyo
Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama
Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie.
Source: ITV habari
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa...... Kwanini nyayo isiyo na uvungu hawachukuliwi?Jeshi ni jambo lingine tofauti, ndo maana interview yake huhusishwa ukaguzi wa mwili mzima. Watu wenye nyayo isiyo na uvungu, matatizo ya macho etc hawanaweza kuwa not suitable. Naomba ieleweke hiyo
Kumbe!Ni jambo jema ,maana najua na yeye ana mtoto mwenye ulemavu.
Du,ama kweli tuna bunge.Alafu mtoa hoja ni injinia
Sifa za kuwa mbunge wa CCM ni kujua kuropoka, kuzomea zomea, kugonga meza na kutukana wapinzani, nafikiri Engineer Manyanya hajaenda nje ya sifa hizo.Kwani sifa za kuwa mbunge ni zipi?