Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwwni umembiww huko vitani wanapigana ngumu,IT wanahitajika huko pia kwenye field atakuwa ndani ya vifaru akifanya mambo yake ya ITJukumu la kwanza na la muhimu kwa mwanajeshi ni ulinzi-kuilinda nchi na kupigana vita,hata akiwa mtaalamu wa IT,Daktari vita ikitokea lazima aende.Sasa mtu mwenye ulemavu ataweza kupigana vita?Watu wenye ulemavu wanaweza kufanya kazi nyingine kama ualimu,unesi,ubunge,uwaziri nk.