Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

Kwwni umembiww huko vitani wanapigana ngumu,IT wanahitajika huko pia kwenye field atakuwa ndani ya vifaru akifanya mambo yake ya IT
 
Hivi bungeni unarehusiwa kusema chochote hata utopolo?
kweli wabunge wetu sasa wamekuwa kituko!!!. Jeshi liajiri mlemavu?!? kazi ya jeshi inajulikana wazi, na wanao wataalamu wa tehama lakini vita ikitokea kila mwanajeshi anao wajibu wa kwenda vitani hata wataalamu pia. lakini tukumbuke wapo wanajeshi wanaojeruhiwa wakiwa vitani lakini kwa kuwa wamefuzu mafunzo ya kijeshi nadhani ndiyo hupewa majukumu hayo
 
aisee huyu mama analijua jeshi na core functions zake?
jeshi si taasis za kiraia. eti kazi za akili?
jeshi ni pysical plus akili. kama una uko disabled utafanyaje?

wabunge wengine vihio kweli
 
Hivi wanalichukuliaje jeshi hawa watu wanahisi ni kikundi cha maselule?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KWA JINSI HOJA NYINGI ZINAVYOMSHAMBULIA, HUYU MBUNGE AMEKUJA MAPEMA KABLA YA WAKATI WAKE, ... ALITAKIWA ATOE HII HOJA 2080+
KUNA HAJA YA KUFIKIRI KIDOGO KABLA YA KUMSHAMBULIA MTU KWA MANENO YA KEJELI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…