Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo tarehe 06 Juni, 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kyela ambapo amekabidhi na kupachika Madirisha ya Aluminium kwenye Nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kyela.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, viongozi wa UWT Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya wamemshukuru sana Suma Ikenda Fyandomo kwa kuunga mkono jitihada za maendeleo ya UWT Wilayani Kyela na kuahidi kuendelea kumuunga mkono na kumpa ushirikiano katika shughuli za kibunge.