suma fyandomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Suma Fyandomo achangia Milioni 374.5 miaka mitano ya Ubunge, UWT Mkoa wa Mbeya wampongeza sana

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2020-2025) katika kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo amesema kuwa katika kipindi cha miaka...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Suma Fyandomo akabidhi madirisha ya Aluminium nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kyela

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo tarehe 06 Juni, 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kyela ambapo amekabidhi na kupachika Madirisha ya Aluminium kwenye Nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kyela. Kupata matukio na taarifa zote...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanajua Wajibu wao Bungeni? Huyu kawaombea makoti askari wa Mbeya

    Wakuu! Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi. Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto nyingi kama ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, ubovu wa miundombinu, huduma duni za afya...
Back
Top Bottom