Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa kimataifa.
Ajabu uwanja huo haujaanza kujengwa wala site mobilization haipo, na mitambo ya kudanganyia iliyoletwa kisiasa siku ya kusaini mkataba haipo tena, je wewe unaungana na serikali kuidanganya jamii ya wana Mwanza na kanda ya ziwa?
Usiku mwema.