Mbunge Tabasamu wewe ni Mbunge wa Watanzania

Mbunge Tabasamu wewe ni Mbunge wa Watanzania

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,285
Reaction score
1,611
Nimekuwa nikikufuatilia katikati michango yako uwapo Bungeni hakika nakupongeza,wewe sio chawa wa aliyeko juu.

Dhambi baridi itawatesa maafisa wengi sana kupitia haki zao za ustaafu kucheleweshwa.

Mh Tabasamu eti uchaguzi 2020 waliiba kura,Basi kama ni kweli wewe walikuibia kiuhalali.
 
70% ya wabunge waliomo humo plus spika walisaidiwa na Mwendazake kupita, ukweli ni lazima uwekwe wazi.
 
Sukuma gang wote hutetea wananchi , kazi chaga gang ni kutetea ufisadi
Dada toa hiyo mimba ya mchaga mana utachanika mbususu na mzuti siku unajifungua,yani tutakuongezea njia iwe sawa na mzuti
 
Kama ni ngumu kuitafuna,, basi usiimeze haraka
 
Back
Top Bottom