GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Kura zake zote ni za 'Kupikwa' na Tume.Watu wananishangaza sana, unataka kuniambia huyu mtu alishinda ubunge? hawa ni wale walichaguliwa na wakurugenzi kwa maagizo na amri ya alie kwa shetani sasa hivi, unamufahamu, so ile iko subiri miaka 5 iishe ndio mbunge wa kweli ambae atachaguliwa na watu wa kinondoni atakuwa pale dodoma, asante
Yule Msomali hafai arudi kwaonje ya mada: ila karia na yeye aache visilani vya kike. alichofanya kwa kocha wa geita gold fred felix minzilo ni ushamba usiopaswa kufanywa na mtu mwenye hadhi kama yeye.
Kama "PAKA" anavyomchukia FAUSTINE KAYUMBA NYAMWASA. 🤣🤣🤣Leo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.
Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas ( CCM ) ulipigiwa Kura zile na wana Yanga SC wa Kinondoni au na wana Kinondoni wote ili ukienda huko Bungeni Dodoma ukawasemee Matatizo yao?
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM ) ni nani aliyekudanganya kuwa kila unapopata muda wa Kuongea Bungeni basi ukiwa unaongelea Soka la Bongo, unaisema ( unainanga ) sana Simba SC na Kuonyesha wazi wazi Chuki zako kwa Rais wa TFF Karia ndiyo Ubunge wako unakubalika na unapata Sifa kwa Watu?
Ina maana Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) umesahau kuwa Kero zetu Kuu wana Kinondoni kama Uwizi ( Ujambazi ), Biashara holela ya Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa idadi ya Mabwabwa ( Mashoga ), Kufurika kwa Gereji Bubu nyingi zinazohatarisha Afya za Wakazi, Kuongezeka kwa Madanguro na Mitaro mibovu ya Maji inayosababisha Mafuriko makubwa maeneo ya Kinondoni kipindi cha Mvua ndizo tumekutuma ukaziwakilishe huko ili zisikike na Serikali iyapatie ufumbuzi wa haraka na wa Kudumu?
Leo hii bila hata haya ( aibu ) Mbunge wa Kinondoni CCM Abbas Tarimba unashutumu Soka la Tanzania kuwa limejaa ' Ubabaishaji ' mwingi na ' Kuinanga ' sijui TFF na Karia wake kwa kuibeba Simba SC na ukiwa unajisahaulisha ni katika Uongozi wako ulipokuwa Yanga SC kwa Kushirikiana na Rais wa TFF wakati huo ( tena mwana Yanga SC Mwenzako ) ndiyo mliuharibu Mpira wa Tanzania kwa Kuhonga Timu Pinzani, Kufanya ' Umafia ' wa Kuionea Simba SC kwa Baraka zote za aliyekuwa Rais wa TFF Kipindi chako.
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM Kinondoni ) utawadanganya tu ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' Wenzako ila kwa Mimi GENTAMYCINE ninayekujua vyema na hasa ile Michezo yako ( iliyopelekea Kuharibu Kikazi Kikubwa ) cha Vijana na Mabinti wa Kinondoni wala hunipi taabu ila nakustahi tu kwakuwa ni mwana CCM Mwenzangu ila ukiendelea na huu Upuuzi na Unafiki wako sitosita sasa kuanza ' Kukuanika ' uliyokuwa ukiyafanya na uyafanyayo pia.
Najua kuwa unamchukia sana Rais wa TFF Wallace Karia kwakuwa kuna ' Dili ' la Kampuni yako ya ' Betting ' ulitaka upige nae ( kwa njia za Panya ) Yeye akakukatalia na kukutaka ufuate Utaratibu.
Najua kuwa unaichukia Klabu ya Simba kwakuwa imeshaonyesha kuwa inaweza isiendee Kudhaminiwa na ' Spoti Pesa ' yako baada ya Simba SC kugundua kuwa haifadiki ipasavyo na ' Sponsorship ' yenu ( tena mnainyonya ) vilivyo na kufikiria kuingia ' deal ' na Kampuni nyingine Kubwa tu duniani.
Nina mengi tu juu yako Mbunge wa Kinondoni CCM ( Abbas Tarimba ) ila nakuomba acha kucheza na Akili za Wapumbavu wengi wanaokuamini na ukidhani Sisi Werevu wachache akina GENTAMYCINE hatupo au tumelala bali tunakuangalia tu huku tukikupuuza huku tukijua pia mwisho wako wa Kisiasa upo wapi.
Humo Bungeni ulipo Simba SC ina Wabunge wengi kuliko Yanga SC yako ( na tena wenye Vyeo vikubwa tu Serikalini ) Kukuzidi je, umeshawahi kuwaona wakiwa na Ushamba ( Umbwiga ) kama ulionao wa Kuizungumzia Simba SC yao kila wapatapo muda wa Kuchangia hapo Bungeni?
Sasa kama Wewe Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) kila ukipewa nafasi ya Kuongea Kazi ni Kuzungumzia tu Mpira wa Miguu na Yanga SC hivi Waziri wa Michezo Bashungwa na Naibu wake wao wakisimama wawe wanazungumzia nini? au unazungumzia sana Michezo ili ' umshawishi ' Rais ( Mama ) Samia akupe Ubunge kisha akupe Uwaziri wa Michezo ulipize Kisasi na uendelee Kuibeba ( Kuipendelea ) Yanga SC yako? Unaboa sana Mnafiki Wewe.
Wewe endelea tu ' Kuibwabwajia ' Yanga SC yako hapo Bungeni na kuacha Kuzungumzia Kero za Kinondoni ukidhani 2025 ni mbali na kwamba hata hiyo 2025 ule Mchezo wa ' Kimafia ' ulioratibiwa vyema na aliyelala Kimoja Chato utajirejea na kupita kirahisi hapo Kinondoni.
Tena na hivi ulivyoanza Kutuudhi na Kutukera wana Kinondoni ni Mimi GENTAMYCINE na Kamati yangu ya Roho Mbaya kama iliyomuangusha Mpuuzi Mwenzako mwingine kule Kigamboni ( japo tulihatarisha hadi Uhai Wetu ) na leo haamini tutakufanyia nawe ' Fitna ' zile zile na wala ' hutotoboa ' hata 'Uhonge ' vipi na japokuwa ni wana CCM ila tutaamua hilo Jimbo bora tu liende kwa Upinzani ( Mpinzani ) na hapa ninamaanisha hivyo taratibu anza sasa kujiandaa Kisaikolojia
Sindano yangu hii ikuingie vyema sana.
Ukitafuta Watangazaji ' very unprofessional ' nchini Tanzania Maulid Kitenge atakuwa Kinara na Yusuph Mkule atamfuatia.Mkuu mimi nili kua namskiliza.uku mwili wote unanitetemeka kwa hasira,jamaa mpuuzi sana..
Na bwana kitenge na mwenzie mkule wakaishupalia sana eti wabunge wakosoa uendeshaji wa soka nchini,,
Uzuri edo akamwambia lakini hao wote waliongea ni yanga,jamaa anakoma hilo umesema wewe edo.
Nahisi hii ni agenda ya utopolo.
Njoo Kinondoni usikie Watu ' wanavyomponda ' na hata wasivyomtaka Mkuu. 90% ya Kura zake ' ziliratibiwa ' na Maagizo ya AMRI na VITISHO kutoka kwa aliyalala Kimoja pembezoni mwa Ziwa Victoria huko Geita.Wananchi wenyewe wa Kinondoni, labda matatizo ya msingi jimboni yameisha, hivyo sasa hayo anayokomalia zaidi ndo vipaumbele mlivyomtuma siye tutajuaje.... mbunge mwenyewe hivi bado vilevile, si huwa kama sikosei ni mkurugenzi wa Bahati Nasibu ya Taifa or shirika la Betting nk.....kazi iendelee.
Wana Kinondoni wamemtuma hayo au?Anapenda kuisema Mikia [emoji23][emoji23][emoji23], kama tu Manara anavyoisema Young Africans hata mahala pasipohitajika kuweka ushabiki au kuzungumzia Football Club
Pimbi Wewe namjua Tarimba Abbas na ' Maovu ' yake yote kuliko umjuavyo na ujuavyo Wewe sawa?Katika aliyoseama tarimba ni kipi cha uongo?,kwakuwa yeye ni yanga,basi akae kimya jinsi hao waovu na huyo muovu mkuu,wanavyofanya dhudi ya yanga?
Kwa akili yako fupi,unadhani kuwa tarimba hana analofanya kuhusu kero za jimbo lake?,acha udwanzi
Hilo linafanyika Mkuu na ili uone Tarimba Abbas alivyo ' Mnafiki ' huko Bungeni kutwa tu ni ' Kuinanga ' Simba SC lakini kila mara anampigia Simu CEO wa Simba SC Bi. Barbara Gonzalez kuomba ' appointment ' nae na kuwapigia 'Magoti' Simba SC wasiachane na ' Spoti Pesa ' yake kwani ' Logically ' tu ni Simba SC ndiyo inaitangaza vyema ' Spoti Pesa ' yake ndani na nje ya Tanzania na siyo hiyo Klabu yake pendwa na mbovu ya Yanga.Mimi nashauri timu yangu ya Simba tuipige chini mazima sport pesa yake bora hiyo space tuendelee kuitangaza nchi yetu Tanzania hata bure kabisa, kama vipi tuchangie kama tulivyofanya kwenye fans card.
Kinondoni imepata Mbunge wa hovyo.Yaani Mimi nilishangaa sana kumbe hata mijitu mikubwa ya utopolo Ina akili za ovyo ovyo kama za mashabiki zao. Ile timu ukiishabikia unakua umeamua kuharibu akili zako asee.
Nilikua siamini kwenye kudemka ila jana nimeshuhudia wabunge wale wakidemka. Mama shikamoo ulivyosema mwanzoni sikukuelewa ila sasa nimeelewa kudemka ni namna gani.
Pumbavu rejea ile 'Clip' ya Tarimba Abbas jana Bungeni kisha tumia Akili zako vyema ( ambazo hata hivyo huna ) ujue ' Context ' nzima ya Maongezi na zile 'Lawama' zake alizokuwa akizifichia kwa Kuisema TFF na Rais Karia alikuwa anazielekeza kwa Timu gani hasa ambayo inajulikana wazi wazi kuwa haipendi.Kwani imesemwa SIMBA au TFF ya KARIA?
Mbona simba ndo mnawashwa kwani hampendi maendeleo ya michezo nchini?
Yaani Kwako hili Wewe ni la Kushangaa?Mbunge amshawishi Rais ampe Ubunge?
Jee ulitaka azungumzie masuala ya mifereji, barabara, madaraja, kazi, wanafunzi wakati wa kujadili Wizara ya Michezo?Leo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.
Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas ( CCM ) ulipigiwa Kura zile na wana Yanga SC wa Kinondoni au na wana Kinondoni wote ili ukienda huko Bungeni Dodoma ukawasemee Matatizo yao?
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM ) ni nani aliyekudanganya kuwa kila unapopata muda wa Kuongea Bungeni basi ukiwa unaongelea Soka la Bongo, unaisema ( unainanga ) sana Simba SC na Kuonyesha wazi wazi Chuki zako kwa Rais wa TFF Karia ndiyo Ubunge wako unakubalika na unapata Sifa kwa Watu?
Ina maana Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) umesahau kuwa Kero zetu Kuu wana Kinondoni kama Uwizi ( Ujambazi ), Biashara holela ya Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa idadi ya Mabwabwa ( Mashoga ), Kufurika kwa Gereji Bubu nyingi zinazohatarisha Afya za Wakazi, Kuongezeka kwa Madanguro na Mitaro mibovu ya Maji inayosababisha Mafuriko makubwa maeneo ya Kinondoni kipindi cha Mvua ndizo tumekutuma ukaziwakilishe huko ili zisikike na Serikali iyapatie ufumbuzi wa haraka na wa Kudumu?
Leo hii bila hata haya ( aibu ) Mbunge wa Kinondoni CCM Abbas Tarimba unashutumu Soka la Tanzania kuwa limejaa ' Ubabaishaji ' mwingi na ' Kuinanga ' sijui TFF na Karia wake kwa kuibeba Simba SC na ukiwa unajisahaulisha ni katika Uongozi wako ulipokuwa Yanga SC kwa Kushirikiana na Rais wa TFF wakati huo ( tena mwana Yanga SC Mwenzako ) ndiyo mliuharibu Mpira wa Tanzania kwa Kuhonga Timu Pinzani, Kufanya ' Umafia ' wa Kuionea Simba SC kwa Baraka zote za aliyekuwa Rais wa TFF Kipindi chako.
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM Kinondoni ) utawadanganya tu ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' Wenzako ila kwa Mimi GENTAMYCINE ninayekujua vyema na hasa ile Michezo yako ( iliyopelekea Kuharibu Kikazi Kikubwa ) cha Vijana na Mabinti wa Kinondoni wala hunipi taabu ila nakustahi tu kwakuwa ni mwana CCM Mwenzangu ila ukiendelea na huu Upuuzi na Unafiki wako sitosita sasa kuanza ' Kukuanika ' uliyokuwa ukiyafanya na uyafanyayo pia.
Najua kuwa unamchukia sana Rais wa TFF Wallace Karia kwakuwa kuna ' Dili ' la Kampuni yako ya ' Betting ' ulitaka upige nae ( kwa njia za Panya ) Yeye akakukatalia na kukutaka ufuate Utaratibu.
Najua kuwa unaichukia Klabu ya Simba kwakuwa imeshaonyesha kuwa inaweza isiendee Kudhaminiwa na ' Spoti Pesa ' yako baada ya Simba SC kugundua kuwa haifadiki ipasavyo na ' Sponsorship ' yenu ( tena mnainyonya ) vilivyo na kufikiria kuingia ' deal ' na Kampuni nyingine Kubwa tu duniani.
Nina mengi tu juu yako Mbunge wa Kinondoni CCM ( Abbas Tarimba ) ila nakuomba acha kucheza na Akili za Wapumbavu wengi wanaokuamini na ukidhani Sisi Werevu wachache akina GENTAMYCINE hatupo au tumelala bali tunakuangalia tu huku tukikupuuza huku tukijua pia mwisho wako wa Kisiasa upo wapi.
Humo Bungeni ulipo Simba SC ina Wabunge wengi kuliko Yanga SC yako ( na tena wenye Vyeo vikubwa tu Serikalini ) Kukuzidi je, umeshawahi kuwaona wakiwa na Ushamba ( Umbwiga ) kama ulionao wa Kuizungumzia Simba SC yao kila wapatapo muda wa Kuchangia hapo Bungeni?
Sasa kama Wewe Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) kila ukipewa nafasi ya Kuongea Kazi ni Kuzungumzia tu Mpira wa Miguu na Yanga SC hivi Waziri wa Michezo Bashungwa na Naibu wake wao wakisimama wawe wanazungumzia nini? au unazungumzia sana Michezo ili ' umshawishi ' Rais ( Mama ) Samia akupe Ubunge kisha akupe Uwaziri wa Michezo ulipize Kisasi na uendelee Kuibeba ( Kuipendelea ) Yanga SC yako? Unaboa sana Mnafiki Wewe.
Wewe endelea tu ' Kuibwabwajia ' Yanga SC yako hapo Bungeni na kuacha Kuzungumzia Kero za Kinondoni ukidhani 2025 ni mbali na kwamba hata hiyo 2025 ule Mchezo wa ' Kimafia ' ulioratibiwa vyema na aliyelala Kimoja Chato utajirejea na kupita kirahisi hapo Kinondoni.
Tena na hivi ulivyoanza Kutuudhi na Kutukera wana Kinondoni ni Mimi GENTAMYCINE na Kamati yangu ya Roho Mbaya kama iliyomuangusha Mpuuzi Mwenzako mwingine kule Kigamboni ( japo tulihatarisha hadi Uhai Wetu ) na leo haamini tutakufanyia nawe ' Fitna ' zile zile na wala ' hutotoboa ' hata 'Uhonge ' vipi na japokuwa ni wana CCM ila tutaamua hilo Jimbo bora tu liende kwa Upinzani ( Mpinzani ) na hapa ninamaanisha hivyo taratibu anza sasa kujiandaa Kisaikolojia
Sindano yangu hii ikuingie vyema sana.
Tena bora hata Rais wa TFF Karia alikataa kumpa Mkono huyo Kocha Mnafiki na Mpuuzi Minziro ila angekutana na Mimi ndiyo ningempa bonge la ' Ndoo ' Mkuu.nje ya mada: ila karia na yeye aache visilani vya kike. alichofanya kwa kocha wa geita gold fred felix minzilo ni ushamba usiopaswa kufanywa na mtu mwenye hadhi kama yeye.
Wana Kinondoni wamemtuma haya au?Wewe mtu una matatizo au huwezi kusikiliza kwa utulivu au una washwa washwa tu!
Kosa la Tarimba lipo wapi? Rudia kuangalia na kusikiliza maana ametoa mawazo mazuri endelea
Ni miongoni mwa Wabunge 'Nuts' mno.Mbunge wa kinondoni anazisemea yanga na simba zilizopo jimbo la ilala kama ni muwakilishi mmepata sio mchezo maana matatizo ya ilala anayaona lakini ya kinondoni hata hajali
Tarimba Abbas ' Kanikera ' sana Mkuu.Hivi popoma una nini lakini?