Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

Unaumwa si bure! Hivi unaona timu kuleta mamluki na kuwapa mishahara minono ni haki kwenye soka la kitanzania? Wake up! Ni lazima tufikie pahala tuwe kama Brazil na Argentina - sender countries siyo receiver ili tujenge Timu ya Taifa
Muulizeni kaacha Kuuza ' Powder ' au?
 
Hapa siongelei habari za Simba na Yanga naongelea TFF kama taasisi Karia ni rais wa hovyo sana league haieleweki mechi zina ahilishwa bila sababu za msingi daraja la kwanza ndio hovyo kila mwaka mambo ni yale yale tu
Kagombee Wewe uwe Rais wa TFF oky?
 
Kwanza kabisa umekosa busara katika maandishi yako. Umetumia lugha kali isiyo na staha. Ungeweza kuwasilisha hoja vizuri tu bila matusi.

Pili, wewe umejadili hoja kishabiki na chuki kubwa. Mpira ni sekta inagusa hisia na maisha ya vijana wengi bila kujali wa Simba au Yanga na pia mapato ya serikali. Tarimba kazungumzia afya ya mpira wetu ni mbaya. Mpira wetu ni kama 'toto lililodumaa!'

Tena katoa mifano hai. Mfano kuahirisha pambano kubwa la Simba na Yanga kirahisi vile, labda wewe ndugu hukuona madhara. Katoa mfano mwengine, watu hawasalimiani kitu ambacho ni very primitive. Hamuwezi kujenga soka halafu mna nongwa na kununiana kama wake wenza.

Ushauri: Punguza jazba. Msikilize Tarimba ukiwa na utulivu wa nafsi. Halafu mambo ya uchaguzi ndani ya CCM una taratibu zake za vikao. Siyo mtu na kundi lake eti kutishia fulani harudi! CCM haiku hivyo.
Unauza nae ' Powder ' nini Kinondoni?
 
Leo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.

Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas ( CCM ) ulipigiwa Kura zile na wana Yanga SC wa Kinondoni au na wana Kinondoni wote ili ukienda huko Bungeni Dodoma ukawasemee Matatizo yao?

Mbunge Tarimba Abbas ( CCM ) ni nani aliyekudanganya kuwa kila unapopata muda wa Kuongea Bungeni basi ukiwa unaongelea Soka la Bongo, unaisema ( unainanga ) sana Simba SC na Kuonyesha wazi wazi Chuki zako kwa Rais wa TFF Karia ndiyo Ubunge wako unakubalika na unapata Sifa kwa Watu?

Ina maana Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) umesahau kuwa Kero zetu Kuu wana Kinondoni kama Uwizi ( Ujambazi ), Biashara holela ya Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa idadi ya Mabwabwa ( Mashoga ), Kufurika kwa Gereji Bubu nyingi zinazohatarisha Afya za Wakazi, Kuongezeka kwa Madanguro na Mitaro mibovu ya Maji inayosababisha Mafuriko makubwa maeneo ya Kinondoni kipindi cha Mvua ndizo tumekutuma ukaziwakilishe huko ili zisikike na Serikali iyapatie ufumbuzi wa haraka na wa Kudumu?

Leo hii bila hata haya ( aibu ) Mbunge wa Kinondoni CCM Abbas Tarimba unashutumu Soka la Tanzania kuwa limejaa ' Ubabaishaji ' mwingi na ' Kuinanga ' sijui TFF na Karia wake kwa kuibeba Simba SC na ukiwa unajisahaulisha ni katika Uongozi wako ulipokuwa Yanga SC kwa Kushirikiana na Rais wa TFF wakati huo ( tena mwana Yanga SC Mwenzako ) ndiyo mliuharibu Mpira wa Tanzania kwa Kuhonga Timu Pinzani, Kufanya ' Umafia ' wa Kuionea Simba SC kwa Baraka zote za aliyekuwa Rais wa TFF Kipindi chako.

Mbunge Tarimba Abbas ( CCM Kinondoni ) utawadanganya tu ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' Wenzako ila kwa Mimi GENTAMYCINE ninayekujua vyema na hasa ile Michezo yako ( iliyopelekea Kuharibu Kikazi Kikubwa ) cha Vijana na Mabinti wa Kinondoni wala hunipi taabu ila nakustahi tu kwakuwa ni mwana CCM Mwenzangu ila ukiendelea na huu Upuuzi na Unafiki wako sitosita sasa kuanza ' Kukuanika ' uliyokuwa ukiyafanya na uyafanyayo pia.

Najua kuwa unamchukia sana Rais wa TFF Wallace Karia kwakuwa kuna ' Dili ' la Kampuni yako ya ' Betting ' ulitaka upige nae ( kwa njia za Panya ) Yeye akakukatalia na kukutaka ufuate Utaratibu.

Najua kuwa unaichukia Klabu ya Simba kwakuwa imeshaonyesha kuwa inaweza isiendee Kudhaminiwa na ' Spoti Pesa ' yako baada ya Simba SC kugundua kuwa haifadiki ipasavyo na ' Sponsorship ' yenu ( tena mnainyonya ) vilivyo na kufikiria kuingia ' deal ' na Kampuni nyingine Kubwa tu duniani.

Nina mengi tu juu yako Mbunge wa Kinondoni CCM ( Abbas Tarimba ) ila nakuomba acha kucheza na Akili za Wapumbavu wengi wanaokuamini na ukidhani Sisi Werevu wachache akina GENTAMYCINE hatupo au tumelala bali tunakuangalia tu huku tukikupuuza huku tukijua pia mwisho wako wa Kisiasa upo wapi.

Humo Bungeni ulipo Simba SC ina Wabunge wengi kuliko Yanga SC yako ( na tena wenye Vyeo vikubwa tu Serikalini ) Kukuzidi je, umeshawahi kuwaona wakiwa na Ushamba ( Umbwiga ) kama ulionao wa Kuizungumzia Simba SC yao kila wapatapo muda wa Kuchangia hapo Bungeni?

Sasa kama Wewe Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) kila ukipewa nafasi ya Kuongea Kazi ni Kuzungumzia tu Mpira wa Miguu na Yanga SC hivi Waziri wa Michezo Bashungwa na Naibu wake wao wakisimama wawe wanazungumzia nini? au unazungumzia sana Michezo ili ' umshawishi ' Rais ( Mama ) Samia akupe Ubunge kisha akupe Uwaziri wa Michezo ulipize Kisasi na uendelee Kuibeba ( Kuipendelea ) Yanga SC yako? Unaboa sana Mnafiki Wewe.

Wewe endelea tu ' Kuibwabwajia ' Yanga SC yako hapo Bungeni na kuacha Kuzungumzia Kero za Kinondoni ukidhani 2025 ni mbali na kwamba hata hiyo 2025 ule Mchezo wa ' Kimafia ' ulioratibiwa vyema na aliyelala Kimoja Chato utajirejea na kupita kirahisi hapo Kinondoni.

Tena na hivi ulivyoanza Kutuudhi na Kutukera wana Kinondoni ni Mimi GENTAMYCINE na Kamati yangu ya Roho Mbaya kama iliyomuangusha Mpuuzi Mwenzako mwingine kule Kigamboni ( japo tulihatarisha hadi Uhai Wetu ) na leo haamini tutakufanyia nawe ' Fitna ' zile zile na wala ' hutotoboa ' hata 'Uhonge ' vipi na japokuwa ni wana CCM ila tutaamua hilo Jimbo bora tu liende kwa Upinzani ( Mpinzani ) na hapa ninamaanisha hivyo taratibu anza sasa kujiandaa Kisaikolojia

Sindano yangu hii ikuingie vyema sana.
Mule hakuna mbunge aliyepigiwa Kura,wote walibebwa kwenye sahani kama vitumbua vya mama amina
 
Tena unaambiwa baada ya Uchaguzi ule Kumalizika kabla ya Hayati ( Mwendazake ) hajaenda kutoa Hotuba yake pale Bungeni aliwaita Wabunge wote wa CCM katika Kikao chao na kuwaambia tena kwa Jeuri na Kujiamini kuwa ambaye anadhani amekuwa Mbunge kwa uwezo wake anyooshe Kidole ( Mkono ) ambapo akiwemo hata huyu 'Mpuuzi' wenu Tarimba Abbas hakuna aliyethubutu Kuinua au Kunyoosha.
 
Unauza nae ' Powder ' nini Kinondoni?
Umeona sasa hoja zako? Ndiyo maana nimekwambia punguza chuki. Matusi ya nini? Mtu amezungumzia maendeleo ya mpira wewe unakuja na maneno mengi tena kwa lugha isiyo ya busara. Sasa hoja yangu na hayo mambo sijui ya poda yanaingiaje? Siyo sahihi kutumia forum hii kushambulia watu. Jenga hoja watu wajadili.
 
Da madhara yake tunayaona sasa,hakuna hoja za maana zaidi ya vihoja ,
Mwenda zake alitukosea sana
 
Leo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.

Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas ( CCM ) ulipigiwa Kura zile na wana Yanga SC wa Kinondoni au na wana Kinondoni wote ili ukienda huko Bungeni Dodoma ukawasemee Matatizo yao?

Mbunge Tarimba Abbas ( CCM ) ni nani aliyekudanganya kuwa kila unapopata muda wa Kuongea Bungeni basi ukiwa unaongelea Soka la Bongo, unaisema ( unainanga ) sana Simba SC na Kuonyesha wazi wazi Chuki zako kwa Rais wa TFF Karia ndiyo Ubunge wako unakubalika na unapata Sifa kwa Watu?

Ina maana Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) umesahau kuwa Kero zetu Kuu wana Kinondoni kama Uwizi ( Ujambazi ), Biashara holela ya Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa idadi ya Mabwabwa ( Mashoga ), Kufurika kwa Gereji Bubu nyingi zinazohatarisha Afya za Wakazi, Kuongezeka kwa Madanguro na Mitaro mibovu ya Maji inayosababisha Mafuriko makubwa maeneo ya Kinondoni kipindi cha Mvua ndizo tumekutuma ukaziwakilishe huko ili zisikike na Serikali iyapatie ufumbuzi wa haraka na wa Kudumu?

Leo hii bila hata haya ( aibu ) Mbunge wa Kinondoni CCM Abbas Tarimba unashutumu Soka la Tanzania kuwa limejaa ' Ubabaishaji ' mwingi na ' Kuinanga ' sijui TFF na Karia wake kwa kuibeba Simba SC na ukiwa unajisahaulisha ni katika Uongozi wako ulipokuwa Yanga SC kwa Kushirikiana na Rais wa TFF wakati huo ( tena mwana Yanga SC Mwenzako ) ndiyo mliuharibu Mpira wa Tanzania kwa Kuhonga Timu Pinzani, Kufanya ' Umafia ' wa Kuionea Simba SC kwa Baraka zote za aliyekuwa Rais wa TFF Kipindi chako.

Mbunge Tarimba Abbas ( CCM Kinondoni ) utawadanganya tu ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' Wenzako ila kwa Mimi GENTAMYCINE ninayekujua vyema na hasa ile Michezo yako ( iliyopelekea Kuharibu Kikazi Kikubwa ) cha Vijana na Mabinti wa Kinondoni wala hunipi taabu ila nakustahi tu kwakuwa ni mwana CCM Mwenzangu ila ukiendelea na huu Upuuzi na Unafiki wako sitosita sasa kuanza ' Kukuanika ' uliyokuwa ukiyafanya na uyafanyayo pia.

Najua kuwa unamchukia sana Rais wa TFF Wallace Karia kwakuwa kuna ' Dili ' la Kampuni yako ya ' Betting ' ulitaka upige nae ( kwa njia za Panya ) Yeye akakukatalia na kukutaka ufuate Utaratibu.

Najua kuwa unaichukia Klabu ya Simba kwakuwa imeshaonyesha kuwa inaweza isiendee Kudhaminiwa na ' Spoti Pesa ' yako baada ya Simba SC kugundua kuwa haifadiki ipasavyo na ' Sponsorship ' yenu ( tena mnainyonya ) vilivyo na kufikiria kuingia ' deal ' na Kampuni nyingine Kubwa tu duniani.

Nina mengi tu juu yako Mbunge wa Kinondoni CCM ( Abbas Tarimba ) ila nakuomba acha kucheza na Akili za Wapumbavu wengi wanaokuamini na ukidhani Sisi Werevu wachache akina GENTAMYCINE hatupo au tumelala bali tunakuangalia tu huku tukikupuuza huku tukijua pia mwisho wako wa Kisiasa upo wapi.

Humo Bungeni ulipo Simba SC ina Wabunge wengi kuliko Yanga SC yako ( na tena wenye Vyeo vikubwa tu Serikalini ) Kukuzidi je, umeshawahi kuwaona wakiwa na Ushamba ( Umbwiga ) kama ulionao wa Kuizungumzia Simba SC yao kila wapatapo muda wa Kuchangia hapo Bungeni?

Sasa kama Wewe Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) kila ukipewa nafasi ya Kuongea Kazi ni Kuzungumzia tu Mpira wa Miguu na Yanga SC hivi Waziri wa Michezo Bashungwa na Naibu wake wao wakisimama wawe wanazungumzia nini? au unazungumzia sana Michezo ili ' umshawishi ' Rais ( Mama ) Samia akupe Ubunge kisha akupe Uwaziri wa Michezo ulipize Kisasi na uendelee Kuibeba ( Kuipendelea ) Yanga SC yako? Unaboa sana Mnafiki Wewe.

Wewe endelea tu ' Kuibwabwajia ' Yanga SC yako hapo Bungeni na kuacha Kuzungumzia Kero za Kinondoni ukidhani 2025 ni mbali na kwamba hata hiyo 2025 ule Mchezo wa ' Kimafia ' ulioratibiwa vyema na aliyelala Kimoja Chato utajirejea na kupita kirahisi hapo Kinondoni.

Tena na hivi ulivyoanza Kutuudhi na Kutukera wana Kinondoni ni Mimi GENTAMYCINE na Kamati yangu ya Roho Mbaya kama iliyomuangusha Mpuuzi Mwenzako mwingine kule Kigamboni ( japo tulihatarisha hadi Uhai Wetu ) na leo haamini tutakufanyia nawe ' Fitna ' zile zile na wala ' hutotoboa ' hata 'Uhonge ' vipi na japokuwa ni wana CCM ila tutaamua hilo Jimbo bora tu liende kwa Upinzani ( Mpinzani ) na hapa ninamaanisha hivyo taratibu anza sasa kujiandaa Kisaikolojia

Sindano yangu hii ikuingie vyema sana.
Huyo hakuchahuliwa na wananchi wa kinondoni,
Alipitishwa na mwendazake.
 
Umeona sasa hoja zako? Ndiyo maana nimekwambia punguza chuki. Matusi ya nini? Mtu amezungumzia maendeleo ya mpira wewe unakuja na maneno mengi tena kwa lugha isiyo ya busara. Sasa hoja yangu na hayo mambo sijui ya poda yanaingiaje? Siyo sahihi kutumia forum hii kushambulia watu. Jenga hoja watu wajadili.
Mtoa Makafara na Muuza ' Poda ' Mkuu.
 
Inajulikana sasa hivi ni korona lakini wanamlazimisha Karia aanze kushikana mikono na watu tofauti na protoko za covid na Karia anajua impact ya yeye kufanya hivo ni sawa na kuzika protoko hizo kwenye Soka letu.

Mbona hawajalalamika raisi madam kutoshika watu mikono? Hawa wabunge wamuombe Karia msamaha wamemuonea tena kumtaja sehemu ambayo hawezi kujitetea hiyo sio sawa.
Bunge liwe hospitali ndogo ya Mirembe. Litatoa ajira swafi kwa waganga wetu.
 
Tena bora hata Rais wa TFF Karia alikataa kumpa Mkono huyo Kocha Mnafiki na Mpuuzi Minziro ila angekutana na Mimi ndiyo ningempa bonge la ' Ndoo ' Mkuu.

Kwa Timu ya Geita Gold Mining kupanda VPL Mashabiki wa Soka Tanzania wajue kuwa tayari Yanga SC ina uhakika wa Alama ( Points ) Sita ( 6 ) Kibindoni kutoka Kwao na Kwake kama Kocha.

Ndiyo maana kuna Demu wake Mmoja yupo Temeke Wailes ' nilimkazia ' na tena ngoja na leo nimtafute ' nikamkazie ' tena kwani katika Mademu ( Mahawara ) zake anaowapenda huyu wa Temeke Wailes ( tena bado ni Mwanamke wa makamo tu ) anampenda na Kumuhudumia balaa.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naaam naam naaaam sheikh
 
Back
Top Bottom