GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Absolutely Rubbish....!!!!Jee ulitaka azungumzie masuala ya mifereji, barabara, madaraja, kazi, wanafunzi wakati wa kujadili Wizara ya Michezo?
Utazungumziaje taasisi bila kuzungumzia viongozi wa hizo taasisi? Au ndio uhuru wa kusema, kutoa maoni yako?
You are entitled to your opinion but not entitled to your facts.
Wewe ni ANCHOR humu ndani unaheshimika, You need to provide leadership and decipline, never punch below the belt in your comments.Tena bora hata Rais wa TFF Karia alikataa kumpa Mkono huyo Kocha Mnafiki na Mpuuzi Minziro ila angekutana na Mimi ndiyo ningempa bonge la ' Ndoo ' Mkuu.
Kwa Timu ya Geita Gold Mining kupanda VPL Mashabiki wa Soka Tanzania wajue kuwa tayari Yanga SC ina uhakika wa Alama ( Points ) Sita ( 6 ) Kibindoni kutoka Kwao na Kwake kama Kocha.
Ndiyo maana kuna Demu wake Mmoja yupo Temeke Wailes ' nilimkazia ' na tena ngoja na leo nimtafute ' nikamkazie ' tena kwani katika Mademu ( Mahawara ) zake anaowapenda huyu wa Temeke Wailes ( tena bado ni Mwanamke wa makamo tu ) anampenda na Kumuhudumia balaa.
Hili neno lako uliloliandika hapa la ' decipline ' Waingereza ( Britons ) wenye hiyo Lugha yao na ' Wordsmiths ' wanaopatikana hapa JamiiForums wanalijua au wamelielewa?Wewe ni ANCHOR humu ndani unaheshimika, You need to provide leadership and decipline, never punch below the belt in your comments.
One of the former ' Drug Baron ' in TZA.Tarimba kama Tarimba!
Lakini mkuu ume react sana naonaTarimba Abbas ' Kanikera ' sana Mkuu.
Si kweli Mkuu ameilenga zaidi Simba SC.Lakini mkuu ume react sana naona
Ijapokuwa kawagusa simba lakini Main point yake kubwa ilikuwa ni TFF na karia na wala sio simba, Simba ilijikuta ikichomekwa tu. Kutokana na uozo wa TFF...
Simba punguzeni presha mkuu
Mkuu GENTAMYCINE ,ni "former" tangu lini!!??One of the former ' Drug Baron ' in TZA.
Malinzi alitamka mbele ya Aden Rage kuwa Simba SC isahau ' Ubingwa ' Yeye akiwa Rais wa TFF hivyo nakuomba uniambie ni lini na wapi Rais ' Mweledi ' wa TFF Wallace Karia alitamka ( ametamka ) kuwa katika Uongozi ( Utawala ) wake Yanga SC iusahau ' Ubingwa ' wa VPL?Karia na Malinzi ni maraisi wa hovyo kuwahi kutokea TFF nitashangaa akirudi tena huyo tumbo tumbo
2005 - 2015 ' akilindwa ' na wa Chalinze.Mkuu GENTAMYCINE ,ni "former" tangu lini!!??
wa chalinze sasa ndio kashika mpini kupitia bi mkubwa2005 - 2015 ' akilindwa ' na wa Chalinze.
Unaumwa si bure! Hivi unaona timu kuleta mamluki na kuwapa mishahara minono ni haki kwenye soka la kitanzania? Wake up! Ni lazima tufikie pahala tuwe kama Brazil na Argentina - sender countries siyo receiver ili tujenge Timu ya TaifaWana Kinondoni wamemtuma haya au?
Hapa siongelei habari za Simba na Yanga naongelea TFF kama taasisi Karia ni rais wa hovyo sana league haieleweki mechi zina ahilishwa bila sababu za msingi daraja la kwanza ndio hovyo kila mwaka mambo ni yale yale tuMalinzi alitamka mbele ya Aden Rage kuwa Simba SC isahau ' Ubingwa ' Yeye akiwa Rais wa TFF hivyo nakuomba uniambie ni lini na wapi Rais ' Mweledi ' wa TFF Wallace Karia alitamka ( ametamka ) kuwa katika Uongozi ( Utawala ) wake Yanga SC iusahau ' Ubingwa ' wa VPL?
Alichosema Tarimba Jana kimenifanya strongly nims support Hajji Manara aliposema ukishakuwa mshabiki wa Yanga regardless ya status ya huyo mtu hana tofauti na mshabiki wa Yanga asiyesoma akili zao wanazikabidhi sijui wapi isipokuwa watu wawili alisema Mzee kikwete na Baba yake nadhan tunajua kwa nyakati tofauti hawa walionyesha utofauti huoLeo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.
Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas ( CCM ) ulipigiwa Kura zile na wana Yanga SC wa Kinondoni au na wana Kinondoni wote ili ukienda huko Bungeni Dodoma ukawasemee Matatizo yao?
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM ) ni nani aliyekudanganya kuwa kila unapopata muda wa Kuongea Bungeni basi ukiwa unaongelea Soka la Bongo, unaisema ( unainanga ) sana Simba SC na Kuonyesha wazi wazi Chuki zako kwa Rais wa TFF Karia ndiyo Ubunge wako unakubalika na unapata Sifa kwa Watu?
Ina maana Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) umesahau kuwa Kero zetu Kuu wana Kinondoni kama Uwizi ( Ujambazi ), Biashara holela ya Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa idadi ya Mabwabwa ( Mashoga ), Kufurika kwa Gereji Bubu nyingi zinazohatarisha Afya za Wakazi, Kuongezeka kwa Madanguro na Mitaro mibovu ya Maji inayosababisha Mafuriko makubwa maeneo ya Kinondoni kipindi cha Mvua ndizo tumekutuma ukaziwakilishe huko ili zisikike na Serikali iyapatie ufumbuzi wa haraka na wa Kudumu?
Leo hii bila hata haya ( aibu ) Mbunge wa Kinondoni CCM Abbas Tarimba unashutumu Soka la Tanzania kuwa limejaa ' Ubabaishaji ' mwingi na ' Kuinanga ' sijui TFF na Karia wake kwa kuibeba Simba SC na ukiwa unajisahaulisha ni katika Uongozi wako ulipokuwa Yanga SC kwa Kushirikiana na Rais wa TFF wakati huo ( tena mwana Yanga SC Mwenzako ) ndiyo mliuharibu Mpira wa Tanzania kwa Kuhonga Timu Pinzani, Kufanya ' Umafia ' wa Kuionea Simba SC kwa Baraka zote za aliyekuwa Rais wa TFF Kipindi chako.
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM Kinondoni ) utawadanganya tu ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' Wenzako ila kwa Mimi GENTAMYCINE ninayekujua vyema na hasa ile Michezo yako ( iliyopelekea Kuharibu Kikazi Kikubwa ) cha Vijana na Mabinti wa Kinondoni wala hunipi taabu ila nakustahi tu kwakuwa ni mwana CCM Mwenzangu ila ukiendelea na huu Upuuzi na Unafiki wako sitosita sasa kuanza ' Kukuanika ' uliyokuwa ukiyafanya na uyafanyayo pia.
Najua kuwa unamchukia sana Rais wa TFF Wallace Karia kwakuwa kuna ' Dili ' la Kampuni yako ya ' Betting ' ulitaka upige nae ( kwa njia za Panya ) Yeye akakukatalia na kukutaka ufuate Utaratibu.
Najua kuwa unaichukia Klabu ya Simba kwakuwa imeshaonyesha kuwa inaweza isiendee Kudhaminiwa na ' Spoti Pesa ' yako baada ya Simba SC kugundua kuwa haifadiki ipasavyo na ' Sponsorship ' yenu ( tena mnainyonya ) vilivyo na kufikiria kuingia ' deal ' na Kampuni nyingine Kubwa tu duniani.
Nina mengi tu juu yako Mbunge wa Kinondoni CCM ( Abbas Tarimba ) ila nakuomba acha kucheza na Akili za Wapumbavu wengi wanaokuamini na ukidhani Sisi Werevu wachache akina GENTAMYCINE hatupo au tumelala bali tunakuangalia tu huku tukikupuuza huku tukijua pia mwisho wako wa Kisiasa upo wapi.
Humo Bungeni ulipo Simba SC ina Wabunge wengi kuliko Yanga SC yako ( na tena wenye Vyeo vikubwa tu Serikalini ) Kukuzidi je, umeshawahi kuwaona wakiwa na Ushamba ( Umbwiga ) kama ulionao wa Kuizungumzia Simba SC yao kila wapatapo muda wa Kuchangia hapo Bungeni?
Sasa kama Wewe Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) kila ukipewa nafasi ya Kuongea Kazi ni Kuzungumzia tu Mpira wa Miguu na Yanga SC hivi Waziri wa Michezo Bashungwa na Naibu wake wao wakisimama wawe wanazungumzia nini? au unazungumzia sana Michezo ili ' umshawishi ' Rais ( Mama ) Samia akupe Ubunge kisha akupe Uwaziri wa Michezo ulipize Kisasi na uendelee Kuibeba ( Kuipendelea ) Yanga SC yako? Unaboa sana Mnafiki Wewe.
Wewe endelea tu ' Kuibwabwajia ' Yanga SC yako hapo Bungeni na kuacha Kuzungumzia Kero za Kinondoni ukidhani 2025 ni mbali na kwamba hata hiyo 2025 ule Mchezo wa ' Kimafia ' ulioratibiwa vyema na aliyelala Kimoja Chato utajirejea na kupita kirahisi hapo Kinondoni.
Tena na hivi ulivyoanza Kutuudhi na Kutukera wana Kinondoni ni Mimi GENTAMYCINE na Kamati yangu ya Roho Mbaya kama iliyomuangusha Mpuuzi Mwenzako mwingine kule Kigamboni ( japo tulihatarisha hadi Uhai Wetu ) na leo haamini tutakufanyia nawe ' Fitna ' zile zile na wala ' hutotoboa ' hata 'Uhonge ' vipi na japokuwa ni wana CCM ila tutaamua hilo Jimbo bora tu liende kwa Upinzani ( Mpinzani ) na hapa ninamaanisha hivyo taratibu anza sasa kujiandaa Kisaikolojia
Sindano yangu hii ikuingie vyema sana.
Ww mganga njaa na mshinda mitandaoni ,achana na mbunge wetu tajili aongee anachotaka.Leo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.

Mkuu umehitimisha vema,wabunge wote hawa waliteuliwa na mwendazake ,hawakupata kura halali za kiuchaguziWatu wananishangaza sana, unataka kuniambia huyu mtu alishinda ubunge? hawa ni wale walichaguliwa na wakurugenzi kwa maagizo na amri ya alie kwa shetani sasa hivi, unamufahamu, so ile iko subiri miaka 5 iishe ndio mbunge wa kweli ambae atachaguliwa na watu wa kinondoni atakuwa pale dodoma, asante
Kwanza kabisa umekosa busara katika maandishi yako. Umetumia lugha kali isiyo na staha. Ungeweza kuwasilisha hoja vizuri tu bila matusi.Leo ni mara ya Pili ( kama siyo ya Tatu ) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia Chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.
Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas ( CCM ) ulipigiwa Kura zile na wana Yanga SC wa Kinondoni au na wana Kinondoni wote ili ukienda huko Bungeni Dodoma ukawasemee Matatizo yao?
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM ) ni nani aliyekudanganya kuwa kila unapopata muda wa Kuongea Bungeni basi ukiwa unaongelea Soka la Bongo, unaisema ( unainanga ) sana Simba SC na Kuonyesha wazi wazi Chuki zako kwa Rais wa TFF Karia ndiyo Ubunge wako unakubalika na unapata Sifa kwa Watu?
Ina maana Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) umesahau kuwa Kero zetu Kuu wana Kinondoni kama Uwizi ( Ujambazi ), Biashara holela ya Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa idadi ya Mabwabwa ( Mashoga ), Kufurika kwa Gereji Bubu nyingi zinazohatarisha Afya za Wakazi, Kuongezeka kwa Madanguro na Mitaro mibovu ya Maji inayosababisha Mafuriko makubwa maeneo ya Kinondoni kipindi cha Mvua ndizo tumekutuma ukaziwakilishe huko ili zisikike na Serikali iyapatie ufumbuzi wa haraka na wa Kudumu?
Leo hii bila hata haya ( aibu ) Mbunge wa Kinondoni CCM Abbas Tarimba unashutumu Soka la Tanzania kuwa limejaa ' Ubabaishaji ' mwingi na ' Kuinanga ' sijui TFF na Karia wake kwa kuibeba Simba SC na ukiwa unajisahaulisha ni katika Uongozi wako ulipokuwa Yanga SC kwa Kushirikiana na Rais wa TFF wakati huo ( tena mwana Yanga SC Mwenzako ) ndiyo mliuharibu Mpira wa Tanzania kwa Kuhonga Timu Pinzani, Kufanya ' Umafia ' wa Kuionea Simba SC kwa Baraka zote za aliyekuwa Rais wa TFF Kipindi chako.
Mbunge Tarimba Abbas ( CCM Kinondoni ) utawadanganya tu ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' Wenzako ila kwa Mimi GENTAMYCINE ninayekujua vyema na hasa ile Michezo yako ( iliyopelekea Kuharibu Kikazi Kikubwa ) cha Vijana na Mabinti wa Kinondoni wala hunipi taabu ila nakustahi tu kwakuwa ni mwana CCM Mwenzangu ila ukiendelea na huu Upuuzi na Unafiki wako sitosita sasa kuanza ' Kukuanika ' uliyokuwa ukiyafanya na uyafanyayo pia.
Najua kuwa unamchukia sana Rais wa TFF Wallace Karia kwakuwa kuna ' Dili ' la Kampuni yako ya ' Betting ' ulitaka upige nae ( kwa njia za Panya ) Yeye akakukatalia na kukutaka ufuate Utaratibu.
Najua kuwa unaichukia Klabu ya Simba kwakuwa imeshaonyesha kuwa inaweza isiendee Kudhaminiwa na ' Spoti Pesa ' yako baada ya Simba SC kugundua kuwa haifadiki ipasavyo na ' Sponsorship ' yenu ( tena mnainyonya ) vilivyo na kufikiria kuingia ' deal ' na Kampuni nyingine Kubwa tu duniani.
Nina mengi tu juu yako Mbunge wa Kinondoni CCM ( Abbas Tarimba ) ila nakuomba acha kucheza na Akili za Wapumbavu wengi wanaokuamini na ukidhani Sisi Werevu wachache akina GENTAMYCINE hatupo au tumelala bali tunakuangalia tu huku tukikupuuza huku tukijua pia mwisho wako wa Kisiasa upo wapi.
Humo Bungeni ulipo Simba SC ina Wabunge wengi kuliko Yanga SC yako ( na tena wenye Vyeo vikubwa tu Serikalini ) Kukuzidi je, umeshawahi kuwaona wakiwa na Ushamba ( Umbwiga ) kama ulionao wa Kuizungumzia Simba SC yao kila wapatapo muda wa Kuchangia hapo Bungeni?
Sasa kama Wewe Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) kila ukipewa nafasi ya Kuongea Kazi ni Kuzungumzia tu Mpira wa Miguu na Yanga SC hivi Waziri wa Michezo Bashungwa na Naibu wake wao wakisimama wawe wanazungumzia nini? au unazungumzia sana Michezo ili ' umshawishi ' Rais ( Mama ) Samia akupe Ubunge kisha akupe Uwaziri wa Michezo ulipize Kisasi na uendelee Kuibeba ( Kuipendelea ) Yanga SC yako? Unaboa sana Mnafiki Wewe.
Wewe endelea tu ' Kuibwabwajia ' Yanga SC yako hapo Bungeni na kuacha Kuzungumzia Kero za Kinondoni ukidhani 2025 ni mbali na kwamba hata hiyo 2025 ule Mchezo wa ' Kimafia ' ulioratibiwa vyema na aliyelala Kimoja Chato utajirejea na kupita kirahisi hapo Kinondoni.
Tena na hivi ulivyoanza Kutuudhi na Kutukera wana Kinondoni ni Mimi GENTAMYCINE na Kamati yangu ya Roho Mbaya kama iliyomuangusha Mpuuzi Mwenzako mwingine kule Kigamboni ( japo tulihatarisha hadi Uhai Wetu ) na leo haamini tutakufanyia nawe ' Fitna ' zile zile na wala ' hutotoboa ' hata 'Uhonge ' vipi na japokuwa ni wana CCM ila tutaamua hilo Jimbo bora tu liende kwa Upinzani ( Mpinzani ) na hapa ninamaanisha hivyo taratibu anza sasa kujiandaa Kisaikolojia
Sindano yangu hii ikuingie vyema sana.
Maswali ya Kinafiki siyapendi Ok Mkuu?wa chalinze sasa ndio kashika mpini kupitia bi mkubwa
Ni kweli kaka popoma?