Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

Unaumwa si bure! Hivi unaona timu kuleta mamluki na kuwapa mishahara minono ni haki kwenye soka la kitanzania? Wake up! Ni lazima tufikie pahala tuwe kama Brazil na Argentina - sender countries siyo receiver ili tujenge Timu ya Taifa
Muulizeni kaacha Kuuza ' Powder ' au?
 
Hapa siongelei habari za Simba na Yanga naongelea TFF kama taasisi Karia ni rais wa hovyo sana league haieleweki mechi zina ahilishwa bila sababu za msingi daraja la kwanza ndio hovyo kila mwaka mambo ni yale yale tu
Kagombee Wewe uwe Rais wa TFF oky?
 
Unauza nae ' Powder ' nini Kinondoni?
 
Mule hakuna mbunge aliyepigiwa Kura,wote walibebwa kwenye sahani kama vitumbua vya mama amina
 
Mule hakuna mbunge aliyepigiwa Kura,wote walibebwa kwenye sahani kama vitumbua vya mama amina
Tena unaambiwa baada ya Uchaguzi ule Kumalizika kabla ya Hayati ( Mwendazake ) hajaenda kutoa Hotuba yake pale Bungeni aliwaita Wabunge wote wa CCM katika Kikao chao na kuwaambia tena kwa Jeuri na Kujiamini kuwa ambaye anadhani amekuwa Mbunge kwa uwezo wake anyooshe Kidole ( Mkono ) ambapo akiwemo hata huyu 'Mpuuzi' wenu Tarimba Abbas hakuna aliyethubutu Kuinua au Kunyoosha.
 
Kati ya waliopita kwa mizengwe mizengwe ni pamoja na huyu bwana !!
 
Unauza nae ' Powder ' nini Kinondoni?
Umeona sasa hoja zako? Ndiyo maana nimekwambia punguza chuki. Matusi ya nini? Mtu amezungumzia maendeleo ya mpira wewe unakuja na maneno mengi tena kwa lugha isiyo ya busara. Sasa hoja yangu na hayo mambo sijui ya poda yanaingiaje? Siyo sahihi kutumia forum hii kushambulia watu. Jenga hoja watu wajadili.
 
Da madhara yake tunayaona sasa,hakuna hoja za maana zaidi ya vihoja ,
Mwenda zake alitukosea sana
 
Huyo hakuchahuliwa na wananchi wa kinondoni,
Alipitishwa na mwendazake.
 
Mtoa Makafara na Muuza ' Poda ' Mkuu.
 
Bunge liwe hospitali ndogo ya Mirembe. Litatoa ajira swafi kwa waganga wetu.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naaam naam naaaam sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…