Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

Tarimba ni sportspesa ambayo ilishawahi kuileta Everton kucheza na Gor Mahita uwanja wa taifa.

Anachangia uchumi wa nchi na sio lazima mbunge akiwa bungeni azungumzie jimbo lake pekee.

Karia kafanya ujinga wa kuususia mkono wa Minziro. Ukiongoza soka huwezi kuwakwepa kina Minziro, Julio, Mexime na Matola, kafanya upuuzi mbele ya camera.
 
Mwenyewe unaona umeandika point?
 
JF imejaa mambumbumbu hadi kero!Tarimba Abbas hajawahi kutumwa bungeni na wana Kinondoni.Unahitaji PhD kujua kuwa huyu mbunge hakuwahi kutumwa bungeni na wana Kinondoni?Wewe unaweza kutumwa bungeni na wananchi halafu uogope kumuuliza waziri mkuu maswali bungeni?

Hukuwahi kusikia tena kutoka kwa Speaker mwenyewe kuwa hawa wabunge wa sasa hivi huwa hawathubutu kumuuliza waziri mkuu yale maswali ya papo kwa hapo?Unaijua sababu?
 
sema hii concept ya kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi itabidi ibadirishwe wanatufanaya sisi wananchi ni vilaza wengi wao
 
Kura zake zote ni za 'Kupikwa' na Tume.
thanks sir, hawa hata aibu hawana, yaani 100% bunge ccm, hakuna lolote litaendelea pale dodoma mpaka 2025, opposition ndio walikuwa wanafanya kazi yote, sasa pamebaki kina musukuma na ka yeye, kazi kupiga makofi pekee
 
Unaye for 5 years, utachoka, Huyo alikataliwa kwenye primaries lakini CC wakampitisha
 
Kwani Kuna mbunge katumwa na Wananchi!?wabunge walipitishwa kuwa wabunge, Wabunge waliopigiwa kura hawapo bungeni.
 
Hata nyerere mshabik wa Yanga alikua na akili za hovyo
 
Mtoa mada ni mjinga sana kama ulikua unajua uchafu wa Tarimba kwanin ulikua unampigia debe akiwa anagombe ubunge na kwanin mlimpitisha kama wajumbe huku mkimjua vyema unafki ni moja ya tatizo kubwa nchi hii
 
Tarimba Ni mtu aliyeshiba

Aliyeshiba hamjui mwenye njaa .

Kwakifupi hazijui shida za kinondoni
 
Next timu ataizungumzia SportPesa. Kwani Kinondoni ana changamoto gani hadi mkamtuma bungeni?
 
Mtoa mada ni mjinga sana kama ulikua unajua uchafu wa Tarimba kwanin ulikua unampigia debe akiwa anagombe ubunge na kwanin mlimpitisha kama wajumbe huku mkimjua vyema unafki ni moja ya tatizo kubwa nchi hii
Ujinga wangu hauzidi Upumbavu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…