huyo Dadi wa kariakoo ni naniMbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dadi ya Kariakoo kati ya timu ya Yanga SC na Simba SC.
Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema waache uwezo uamue matokeo sahihi na sio kutoa penati au kadi nyekundu za uwongo.
Umbwa huyu. Anajua mechi iliyopita yule mimacho angetenda haki wasingeshinda. Wanajua moto wa kibu na sasa ameongezeka Mpanzu.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya timu ya Yanga SC na Simba SC.
Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema waache uwezo uamue matokeo sahihi na sio kutoa penati au kadi nyekundu za uwongo.
Umbwa huyu. Anajua mechi iliyopita yule mimacho angetenda haki wasingeshinda. Wanajua moto wa kibu na sasa ameongezeka Mpanzu.
Nyie mnaogopa nini? Mnajua kabisa mechi iliyopita yule choko Kayoko angefuata sheria 17 za mpira wa miguu. Mngekufa.Kasema ukweli. Ushindi kwa mgongo wa penati na kadi nyekundu za mchongo, siyo poa hata kidogo.
Uwezo na sheria za mpira viamue.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya timu ya Yanga SC na Simba SC.
Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema waache uwezo uamue matokeo sahihi na sio kutoa penati au kadi nyekundu za uwongo.