upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya timu ya Yanga SC na Simba SC.
Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema waache uwezo uamue matokeo sahihi na sio kutoa penati au kadi nyekundu za uwongo.
Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema waache uwezo uamue matokeo sahihi na sio kutoa penati au kadi nyekundu za uwongo.