Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
sikubaliani na wabunge wawili walioongea kama watoto wadogo, hawajaonyesha kama ni watu wazima kabisa. pamoja na kwamba sikubaliani na Martha karua na kundi lake kuja bongo, ila ukweli n kwamba wabunge wengi wa chama fulani wamefika pale kwa sehemu zao za siri kuumia sana, hawana akili hata nukta zaidi ya akili za jini mahaba.Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
View attachment 3346714
Ukizungumzia suala la elimu ya kuunga unga unamgusa hadi mwenyekiti
Au the Amazon college 😂Hiko chuo hakina tofauti na Genesis college.
Peter na Piere ama Abdalla na DullaAu the Amazon college 😂
Kumbe yeye ndi kengeUkitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
View attachment 3346714
CCM hawawezi kukubali ushauri wako hata kwa ishara.View attachment 3346744
kuna haja sifa za mbunge isiwe kujua kusoma na kuandika tu hii ni hatari yaani mm sijazaliwa mtu yuko secondari nmeanza la kwanza mpka namaliza form 4 yy anahangaika na kuvuka formfour leo unaita watu na akili zao ni KENGE