Mbunge Tauhidi, alowatukana Watanzania KENGE , kumbe ana Elimu ya kuunga unga sana, kafeli form four mara Kadhaa

Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.

Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.

Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.

Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

View attachment 3346714
Hata yule wa Pandani Pemba naye ata Form 4 hakufika aliyesema Karua apigwe na arejeshwe kwao kwa mitungi ya gesi
 
Duuuh, maccm kweli sio fair. Kilaza analamba za uheshimiwa halafu sijui akina talatala, chinembe,jinga letu, sangongosha, choise nini, mtoto wa watu, mwamashamba mpaka dr v, na wenzao wamebakia na mipasho hili wapewe book 7!!!.
 
Alianzia Ualimu wa shule ya Msingi.
Ndio shida zilipo halafu mtu kama huyo awe kiongozi wa kutengeneza Sera ya maendeleo ya nchi na kusimamia Haki , ikiwemo kutafsri malalamiko ya uhaini na mambo kama hayo , kuteua au kupitisha Nani au Jaji n.k
 
Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.

Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.

Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
View attachment 3346755

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

MBUNGE KALIDANGANYA BUNGE NA SERIKALI!!
Huyu kapewa ulaji tu..

Hawez kututungia sheria na kuikosoa serikali.
 
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.

Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.

Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.

Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

View attachment 3346714

Kashajivuruga huyu
 
Back
Top Bottom