Mbunge Tauhidi, alowatukana Watanzania KENGE , kumbe ana Elimu ya kuunga unga sana, kafeli form four mara Kadhaa

Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.

Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.

Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.

Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

View attachment 3346714
Yaani huyu kupe pamoja na kupe wenzake wamekimbia urojo na kuja kula kodi zetu! Na bado wanapata mpaka ujasiri wa kuwatukana, kuwateka, kuwaua, kuwatesa, kuwapoteza, na kuwafunga Watanganyika! Aisee kweli safari hii tumepatikana.
 
Screenshot_20250526_221902~2.jpg

Ukisikia " unga unga mwanangu umpendeze " ndio hii sasa 😂

Primary (1988-1996) = miaka 14
Secondary (1997-2013) = miaka 16
Advance (2014-2015) = 1 year 😂 kapiga comeback
Diploma (2013-2015) = 2 years

Kifupi Mheshimiwa alipomaliza elimu ya sekondari alijiunga na CCTI kupiga diploma huku akisikilizia tokeo la form 4. Tokeo lilivotoka akajiunga advance huku akiendelea kuhudhuria masomo ya Diploma ambapo alihitimu advance na diploma kwa wakati mmoja mnamo mwaka 2015 😂
 
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.

Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.

Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.

Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

View attachment 3346714
Labda tu assume kasomea Kenya, huko anapowatukana
 
Attachments

  • Screenshot_20250527-135911.png
    Screenshot_20250527-135911.png
    420.8 KB · Views: 18
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.

Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.

Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.

Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

View attachment 3346714
Kwahiyo secondary school amesoma miaka 15?

Tungekuwa na jeshi la kina Musuguri wangeshachukuwa nchi na kuvunjilia mbali hili bunge la wahuni.
 
Kuna Uzi niandika humu wakanipopoa sana lakni nadhani Leo mmejifunza jambo, sjui jinsi ya kutag Uzi lakni nimeattach
 
Attachments

  • Screenshot_2025-05-27_081238_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
    Screenshot_2025-05-27_081238_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
    392.6 KB · Views: 17
Kuna Uzi niandika humu wakanipopoa sana lakni nadhani Leo mmejifunza jambo, sjui jinsi ya kutag Uzi lakni nimeattach
 
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.

Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.

Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.

Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?

Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.

Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .

Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .

Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???

View attachment 3346714
Duh.....MP?
 
Nashukuru sana huu Uzi unamengi sana Kwa wanaojitambua
 
Aisee 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom