Yaani huyu kupe pamoja na kupe wenzake wamekimbia urojo na kuja kula kodi zetu! Na bado wanapata mpaka ujasiri wa kuwatukana, kuwateka, kuwaua, kuwatesa, kuwapoteza, na kuwafunga Watanganyika! Aisee kweli safari hii tumepatikana.Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
View attachment 3346714
Labda tu assume kasomea Kenya, huko anapowatukanaUkitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
View attachment 3346714
Nimecheka kwa sauti sanaπ€£π€£π€£Wabunge wengi wa ccm hawana akili timamu, unaweza kuta hiyo ndo hotuba yake bora tangu amekuwa mbunge wa mchongo.
Kwahiyo secondary school amesoma miaka 15?Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
View attachment 3346714
Mimi sijaelewa, huyu Mheshimiwa ni Mkenya ?This is Tanzania"kila sehemu mambo hayaeleweki hata yeye haelewi elimu yake
Inawezekana kabisa hapo amedanganya
Uko sahihi mkuu.Kuna Uzi niandika humu wakanipopoa sana lakni nadhani Leo mmejifunza jambo, sjui jinsi ya kutag Uzi lakni nimeattach
Kuna Uzi niandika humu wakanipopoa sana lakni nadhani Leo mmejifunza jambo, sjui jinsi ya kutag Uzi lakni nimeattach
Duh.....MP?Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???
View attachment 3346714
Nashukuru sana huu Uzi unamengi sana Kwa wanaojitambuaWatu walioanzia certificate na kisha kwenda Diploma alafu Shahada wasipewe vyeo vikubwa, waishie kwenye fundi
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa Lakn kwenye kuhitaji reasoning, analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na...www.jamiiforums.com
Aisee ππππππUkitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.