Mbunge Tauhidi, alowatukana Watanzania KENGE , kumbe ana Elimu ya kuunga unga sana, kafeli form four mara Kadhaa

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ Hiyo ya sehemu za Siri kuumia... Nimecheka kwelikweli.... Uko sahihi mkuu
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 

Attachments

  • 20250527_152914.jpg
    79.8 KB · Views: 28
Hili bunge limemaliza miaka 5 kwa sababu ya ubovu mkubwa wa katiba yetu.Vinginevyo halikupaswa kuwepo hata kabla ya kumaliza mwaka.
 
Hukubaliani na mtu kuja bongo kisa nini? Anaushawishi gani hadi awetishio kwetu. Hao ni kama mashabiki wa mpira tu wanaifuata timu popote mechi ikiisha wanaondoka.

Shida ni unyama tunaofanyiana hivyo hutaki wengine wajue. Huwa tunaimba wageni waje waione nchi yetu nzuri. Sasa leo tunawakimbiza wageni wasione haki na amani tunayoitoa kwa raia wetu?

Ndo yale yale unafanya wizi kisha unawalaumu wanaouweka wizi hadharani.

Ukiwa mtu wa haki, utaacha yeyote aje ajifunze namna ya kutenda haki. Akija akakosea, atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria zetu na mikataba ya kimataifa iliyopo.
 
Seriously speaking ni huzuni sana kujua kuwa kuna watu wa aina hii bungeni, yaani huyu mbumbumbu ndiyo yuko pale mjengoni kuchambua sera hata za uchumi au international relations, uwekezaji au kodi? Hii inadhihirisha kabisa kuwa kuna wabunge wako pale kwa kuvuliwa chupi ila hawana elimu wala kiwango cha akili za kustahili kuwa mjengoni. Kama elimu ndogo tu ya kusoma vitu vyepesi kuviweka kichwani ufaulu mitihani mtu anashindwa hapo kichwani kwake kuna ubongo au kuna uji au ni vacuum?
 
Atakuwa alipata ubunge kwa njia Ile Ile ya toa mwili nikupitishe....hakuna jipya hao
 
Kwani kugonga meza bungeni mpaka uwe na elimu gani??
Wakienda wenyeakili serikali yakitekaji itakwama asubuuhi
 
huyu kavuliwa sio nguo tu! hadi chupi!
 
Ndio viongozi wetu, moja alifeli kidato cha nne , mwingine Mwalimu WA michezo , wakati wenzetu wachina maraisi ni watu WA sayansi, Sisi tumeendekeza siasa
 
View attachment 3346744
kuna haja sifa za mbunge isiwe kujua kusoma na kuandika tu hii ni hatari yaani mm sijazaliwa mtu yuko secondari nmeanza la kwanza mpka namaliza form 4 yy anahangaika na kuvuka formfour leo unaita watu na akili zao ni KENGE
Huyu mmbunge kavunja rekodi ya Dunia kasima miaka nenda rudu secondary 🀣🀣Nathan atafutiwe namna aingie kweny kitabu Cha rekodi Cha the Guinness
 
Hao ndio mmewapeleka bungeni wawawakilishe. Halafu mnashangaa kwanini mnafeli kila idara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…