Mbunge Thea Ntara: Dawa za P2 zinatumika vibaya, Serikali ichukue hatua

Mbunge Thea Ntara: Dawa za P2 zinatumika vibaya, Serikali ichukue hatua

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.

Amesema hayo Bungeni Dodoma, leo Juni 3, 2025.

Pia soma ~ Dkt. Mollel: Matumizi holela ya vidonge ya P2 ni hatari kwa afya
 
Vitambi na shape mbaya za wanawake wanaotumia vidonge hivyo
 
Back
Top Bottom