Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na utulivu kuhakikisha chaguzi zote mbili; Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 pamoja na Uchaguzi Mkuu 2025 zinapita salama.
Akisema kuna nchi nyingine watu wenye uwezo hukimbia nchi zao katika vipindi vya uchaguzi na kurejea baada ya uchaguzi kuisha, akisema Tanzania haijafika hatua hiyo na ana imani haitafika huko kwakuwa kwasababu viongozi wa dini pamoja na serikali wanafanya juhudi zote kuhakikisha amani na upendo unadumishwa nchini.
Jambo TV