...kwenye nyekundu rekebisha...!
Hakuna alama yeyote mkuu, labda urekebishe na wewe kwanza hiyo alama niione
Pole yake!!! atulie tu na yule handsome wake
This goes to vicky, pole sana kuna mambo ambayo money can not buy, while mambo yote uliyokuwa unafanya yilikuwa fun, now reality comes in- majuto ni mjukuu!!!!
Kanisa katoliki halina Wachungaji lina Mapadre na Maaskofu, ndo alichotaka urekebishe
tatizo handsome ni mali ya umma. hamna mmiliki halali
Heaven on Earth siku izi umehama hili jukwaa au u bize mama angu, namis sana mawazo yako na comment zako za hekima
Yule jamaa ni mume wa mtu.....nilikuwa nashangaa utaratibu wa kanisa kutaka kufungisha ndoa.
Kuna watu mna akili sn humu,hongereni kwa kusema ukweli Wa maisha