Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
ebu wataje wengine aliowatapeli kama sio kufata mkumbo tu hapa na kupenda udaku.

Embu toka hapa kumbe matapeli mpo wengi, za mwizi 40, habari zimeshasambaa blog zote ikiwemo ya william malecela, kwa hiyo its too late kila kitu kipo hadharani pole sana ila jifunze kula kwa jasho lako
 
Kanisa Katoliki haliwezi kuacha kufunga ndoa kwa kisingizio cha kuzaa na mtu mwingine ambaye hamkufunga ndoa.....pingamizi linalokubalika ni pale kama mmoja wapo tayari alikwisha funga ndoa halali inayotambulika na Kanisa.Hivyo naamini majibu ya Paroko ni sahihi na Kanisa haliwezi kutoa majibu ya kulinda heshima ya mtu huku akiwa kinyume na msimamo wa Kanisa.
 
maajabu makubwa pale huyu muajiriwa wa tigo upande wa ufundi alipoangua kilio kikubwa baada ya harusi ya mtumishi mwenzie kupigwa chini,inasemkana alijiandaa kwa mavazi yeye na mkewe mtarajiwa na alikuwa akitamba kwamba alishakuwa mc kwenye moja ya sherehe za vicky kamata
 
yani hadi mie huku naona aibu !hee lakn jamaa kajiingza matatizoni asipoangalia ataungana na kina babu seya !
 
mmmmh aibu hii sijui itahifadhiwa wapi.....
 
Vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...Acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.

Mtu kazaa watoto 3 kila mmoja na babake afu leo anataka kuleta foleni tu mjini hapa na harusi aendeleee kuzaa tu kama mbuzi bila ndoa..mxxxxuiiii
 
Embu toka hapa kumbe matapeli mpo wengi, za mwizi 40, habari zimeshasambaa blog zote ikiwemo ya william malecela, kwa hiyo its too late kila kitu kipo hadharani pole sana ila jifunze kula kwa jasho lako

Uyo le mutuz kichwa maji si ndio kazitengeneza hizi habari ili atangaze blog yake alafu baadae anakukaja kuomba msamaha....Ebu shirikisha ubongo wako usibebe kila habari only sababu inasisimua.
 
Huyo vicky atulipe pesa apa tuunde tema "TEAM KAMATA" Tumuonyeshe huyo tapel utamu wa jiji, tutapekua ma file yake hadi akimbie muji
 
Ndoa indeed

Hapo ni mungu tu ameamua kumwaibisha! milioni 96! si angemega kidogo hio fungu apeleke kwa yatima? ukizingatia yeye ni mbunge mwanmke tena wa chama twawala? mwanasiasa kutumia mifeswa yote hiyo hata km umechangiwa haileti picha nzuri kwa jamii!
 
Mtu kazaa watoto 3 kila mmoja na babake afu leo anataka kuleta foleni tu mjini hapa na harusi aendeleee kuzaa tu kama mbuzi bila ndoa..mxxxxuiiii

Kwaio ukizaa watoto nje ya ndoa haustahili kufunga ndoa? wangapi wana watoto wa nje na ndoa zimefungwa.acheni roho za kiswahili
 
Kaaibishwa kwa mengi. Muoaji ana ndoa ambayo haijavunjika na watoto 2
 
Kwaio ukizaa watoto nje ya ndoa haustahili kufunga ndoa? wangapi wana watoto wa nje na ndoa zimefungwa.acheni roho za kiswahili

Akafie mbele huko simafunge ndoa ya kimila ..wazinzi hawaruhusiwi kufunga ndoa kwenye madahbahu matakatifu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom