Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
inaonekana wewe ndio ulikuwa matron wake leo pole sana.Kwaio ukizaa watoto nje ya ndoa haustahili kufunga ndoa? wangapi wana watoto wa nje na ndoa zimefungwa.acheni roho za kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonekana wewe ndio ulikuwa matron wake leo pole sana.Kwaio ukizaa watoto nje ya ndoa haustahili kufunga ndoa? wangapi wana watoto wa nje na ndoa zimefungwa.acheni roho za kiswahili
Sitaki muchezo binamu, nataka kabisaa nikasomee hii kazi, maana naipenda kutoka kwa moyo
Huyo vicky atulipe pesa apa tuunde tema "TEAM KAMATA" Tumuonyeshe huyo tapel utamu wa jiji, tutapekua ma file yake hadi akimbie muji
inaonekana wewe ndio ulikuwa matron wake leo pole sana.
Akafie mbele huko simafunge ndoa ya kimila ..wazinzi hawaruhusiwi kufunga ndoa kwenye madahbahu matakatifu
Wewe umeongea nae na watu wana jadili yaliyo andikwa na umesahau kumuuliza kwanini wanasema ndoa yake haija kidhi vigezo?Vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...Acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.
na wewe unazaa lini maana matumbo yako yako yamejaa mimba za albino.
utakata sana mauno hapa lakini dili imebuma, kama ullipapangwakwenda kucheza sindimba rudisha advance ya watu.Waswahili bwana kwa roho mbaya eti kinajifanya nacho kilichanga...eh tuambie ulichanga sh ngapi?
- Augua ghafla, alazwa hospitali, daktari asema hataweza kuhimili mikiki ya harusi.
- Ndoa yake gizani, ilikuwa ifungwe leo jijini Dar es Salaam
- Paroko Kanisa Katoliki asema hakukidhi vigezo vya kufunga ndoa
utakata sana mauno hapa lakini dili imebuma, kama ullipapangwakwenda kucheza sindimba rudisha advance ya watu.
Kuwa na watoto nje ya ndo si kigezo cha ndoa kuwa batili!Mtu kazaa watoto 3 kila mmoja na babake afu leo anataka kuleta foleni tu mjini hapa na harusi aendeleee kuzaa tu kama mbuzi bila ndoa..mxxxxuiiii
pimbi wewe tafuta kazi ya kufanya unadhani ukuwadi nayo ni ajira? fanculo.Ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kushadadadia ndoa ya mwanamke iingie doa...We lazima ni kipikipiki baiskeli watu wanarukia.
tatizo langu matumbo njaa kama wewe unayeishi kwa upambe jingazHakuna dili iliyobuma hapa acha ushakunaku...kwa hio bwana harusi kakimbia na mil 40? Alafu anakimbilia wapi?...Hivi tatizo lako ni shule au IQ?
Duh na wewe unadai mchango wakati ata Vick umjui hakujui...acha uswahili
tatizo langu matumbo njaa kama wewe unayeishi kwa upambe jingaz
Wewe umeongea nae na watu wana jadili yaliyo andikwa na umesahau kumuuliza kwanini wanasema ndoa yake haija kidhi vigezo?
Swala si kuumwa tuuu bali hata kuto kidhi vigezo nalo ni kikwazo, na pengine hata kama angekuwa mzima hisinge lifungwa!