ebu wataje wengine aliowatapeli kama sio kufata mkumbo tu hapa na kupenda udaku.
Vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...Acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.
Embu toka hapa kumbe matapeli mpo wengi, za mwizi 40, habari zimeshasambaa blog zote ikiwemo ya william malecela, kwa hiyo its too late kila kitu kipo hadharani pole sana ila jifunze kula kwa jasho lako
Ndo mshituko o complication za mimba
Ndoa indeed
Mtu kazaa watoto 3 kila mmoja na babake afu leo anataka kuleta foleni tu mjini hapa na harusi aendeleee kuzaa tu kama mbuzi bila ndoa..mxxxxuiiii
vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.
na wewe unazaa lini maana matumbo yako yako yamejaa mimba za albino.Vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...Acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.
Kwaio ukizaa watoto nje ya ndoa haustahili kufunga ndoa? wangapi wana watoto wa nje na ndoa zimefungwa.acheni roho za kiswahili