Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Huyo vicky atulipe pesa apa tuunde tema "TEAM KAMATA" Tumuonyeshe huyo tapel utamu wa jiji, tutapekua ma file yake hadi akimbie muji

Ulichanga sh ngapi unazotaka kudai?
 
  • Augua ghafla, alazwa hospitali, daktari asema hataweza kuhimili mikiki ya harusi.
  • Ndoa yake gizani, ilikuwa ifungwe leo jijini Dar es Salaam
  • Paroko Kanisa Katoliki asema hakukidhi vigezo vya kufunga ndoa
 
Akafie mbele huko simafunge ndoa ya kimila ..wazinzi hawaruhusiwi kufunga ndoa kwenye madahbahu matakatifu

Mkuu ndoa itafungwa ata kama yeye ndio mzinzi wa kwanza kufunga ndoa...Take my words na umbeya utawatoka
 
Siyo harusi ni KUBARIKI NDOA maana ana MIMBA tayari.Pia padri kasema hajakidhi vigezo.Nadhani dua Za vasco da gama zimefanya kazi
 
Vicky anaumwa tumbo mimi
nimeongea nae jana...Acheni
umbeya jamani,ndoa imesogezwa
mbele na itafungwa tu acheni
uswahili.
Wewe umeongea nae na watu wana jadili yaliyo andikwa na umesahau kumuuliza kwanini wanasema ndoa yake haija kidhi vigezo?
Swala si kuumwa tuuu bali hata kuto kidhi vigezo nalo ni kikwazo, na pengine hata kama angekuwa mzima hisinge lifungwa!
 
na wewe unazaa lini maana matumbo yako yako yamejaa mimba za albino.

Ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kushadadadia ndoa ya mwanamke iingie doa...We lazima ni kipikipiki baiskeli watu wanarukia.
 
Waswahili bwana kwa roho mbaya eti kinajifanya nacho kilichanga...eh tuambie ulichanga sh ngapi?
utakata sana mauno hapa lakini dili imebuma, kama ullipapangwakwenda kucheza sindimba rudisha advance ya watu.
 
Hela sio guarantee kuwa unaweza kupata kila kitu
 
Reactions: Sal
  • Augua ghafla, alazwa hospitali, daktari asema hataweza kuhimili mikiki ya harusi.
  • Ndoa yake gizani, ilikuwa ifungwe leo jijini Dar es Salaam
  • Paroko Kanisa Katoliki asema hakukidhi vigezo vya kufunga ndoa

Uwiiiiiiii.....majanga...
 
utakata sana mauno hapa lakini dili imebuma, kama ullipapangwakwenda kucheza sindimba rudisha advance ya watu.

Hakuna dili iliyobuma hapa acha ushakunaku...kwa hio bwana harusi kakimbia na mil 40? Alafu anakimbilia wapi?...Hivi tatizo lako ni shule au IQ?
 
Mtu kazaa watoto 3 kila mmoja na babake afu leo anataka kuleta foleni tu mjini hapa na harusi aendeleee kuzaa tu kama mbuzi bila ndoa..mxxxxuiiii
Kuwa na watoto nje ya ndo si kigezo cha ndoa kuwa batili!
Kuna mambo yanaweza yaka sababisha ndoa yake kutofungwa au kuwa batili
Mfano Kama hitathibitika pasi shaka kuwa alisha funga ndoa na haijavunjwa!

Na bila shaka kulikuwa na muda wa kuweka pingamizi hapo kanisani!

Paroko ametoa vigezo gani vya ndoa kuto kidhi vigezo?
kuwa na watoto nje ya ndoa si kigezo cha kubatilisha ndoa.
 
Ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kushadadadia ndoa ya mwanamke iingie doa...We lazima ni kipikipiki baiskeli watu wanarukia.
pimbi wewe tafuta kazi ya kufanya unadhani ukuwadi nayo ni ajira? fanculo.
 
Hakuna dili iliyobuma hapa acha ushakunaku...kwa hio bwana harusi kakimbia na mil 40? Alafu anakimbilia wapi?...Hivi tatizo lako ni shule au IQ?
tatizo langu matumbo njaa kama wewe unayeishi kwa upambe jingaz
 
tatizo langu matumbo njaa kama wewe unayeishi kwa upambe jingaz

Huyu atakuwa mpambe wa tapeli, anatakiwa aanze kujipanga maana hali imeshakuwa tete,ofisi za tigo zitajaa maafande jumatatu
 
Wewe umeongea nae na watu wana jadili yaliyo andikwa na umesahau kumuuliza kwanini wanasema ndoa yake haija kidhi vigezo?
Swala si kuumwa tuuu bali hata kuto kidhi vigezo nalo ni kikwazo, na pengine hata kama angekuwa mzima hisinge lifungwa!

Mkuu mie kaniambia anaumwa..Swala la vikwazo kanisani siwezi kulikataa ila kama ni vyeti vya sakramenti ilo sio kikwazo kabisa vinaweza patikana na ndoa ikafungwa...Nachopinga hapa ni huu uswahili eti bwana harusi katapeli michango mara cjui kazaa sana cjui ujinga gani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…