Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Bibi harus anaumwa, na hawez kuvaa high heels kweny harus, yaan wanawake sasa iv wanavyopenda kuolewa wangeleta nyodo ivi??, mmh kweli apa kuna mchezo mchafu

Hapa ndugu yangu warumi kuna jambo nyuma ya pazia
 
Haya nimeyaona kwenye blog ya Le mutuz...

''BREAKIN NEWZZZ:- EXCLUSIVE ONLY BLOG YA WANANCHI - MCHUMBA WA MBUNGE WA CCM WA HARUSI YA LEO KUMBE NI TAPELI AINGIA MITINI NA MICHANGO YA HARUSI SOMA HAPA LIVE!!
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]1. HUU NI UJUMBE WA MBUNGE MMOJA KWENDA KWA MWENZIWE JANA:-"Mamboz? Kesho unajua Vikcy Kamata ilikuwa aoelewe na bonge la harusi hapo Kempisky, kumbe muaoaji ni Mume wa Mtu mkewe kajitokeza na fujo kibao, Jamaa kaambiwa na Padri hawezi kuoa kaingia mitini nasikia Padri kaombwa mpaka na Waziri Mkuu lakini kagoma kabisa kwamba hakuna ndoa, jamaaa katoroka hajulikani alipo ila ni mfanyakazi wa Tigo!! yaani tumesikitika sana maana sasa Vicky yupo ICU"

2. HUU NI UJUMBE WA PILI WA MBUNGE MWINGINE KWA MBUNGE MWENZAKE:- "Wabunge tumechanga mamilioni ya pesa kibao Vicky na jamaa wakaenda China kufanya shopping kumbe lijamaa ni full taperi.....!!!Wabunge wengine walishatangulia Dar kwenye harusi toka jana wapo huko. Yaani imenisikitisha sana lazima Vicky arudishe michango yetu."

My take:
Kama Tamthilia hii itakua ya kweli basi itakua ni muendelezo wa yaleyale ya -aliyeuza cheni ya bandia naye kapata noti ya bandia,pia hapo kuna somo behind juu ya aina ya watu wanaotuwakilisha mjengoni! Chukua chako mapema!!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Bibi harus anaumwa, na hawez kuvaa high heels kweny harus, yaan wanawake sasa iv wanavyopenda kuolewa wangeleta nyodo ivi??, mmh kweli apa kuna mchezo mchafu

Anafight sana ili aolwa analazimisha sana hajui ndoa hupangwa na mungu.
 
Haya nimeyaona kwenye blog ya Le mutuz...

''BREAKIN NEWZZZ:- EXCLUSIVE ONLY BLOG YA WANANCHI - MCHUMBA WA MBUNGE WA CCM WA HARUSI YA LEO KUMBE NI TAPELI AINGIA MITINI NA MICHANGO YA HARUSI SOMA HAPA LIVE!!
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]1. HUU NI UJUMBE WA MBUNGE MMOJA KWENDA KWA MWENZIWE JANA:-"Mamboz? Kesho unajua Vikcy Kamata ilikuwa aoelewe na bonge la harusi hapo Kempisky, kumbe muaoaji ni Mume wa Mtu mkewe kajitokeza na fujo kibao, Jamaa kaambiwa na Padri hawezi kuoa kaingia mitini nasikia Padri kaombwa mpaka na Waziri Mkuu lakini kagoma kabisa kwamba hakuna ndoa, jamaaa katoroka hajulikani alipo ila ni mfanyakazi wa Tigo!! yaani tumesikitika sana maana sasa Vicky yupo ICU"

2. HUU NI UJUMBE WA PILI WA MBUNGE MWINGINE KWA MBUNGE MWENZAKE:- "Wabunge tumechanga mamilioni ya pesa kibao Vicky na jamaa wakaenda China kufanya shopping kumbe lijamaa ni full taperi.....!!!Wabunge wengine walishatangulia Dar kwenye harusi toka jana wapo huko. Yaani imenisikitisha sana lazima Vicky arudishe michango yetu."

My take:
Kama Tamthilia hii itakua ya kweli basi itakua ni muendelezo wa yaleyale ya -aliyeuza cheni ya bandia naye kapata noti ya bandia,pia hapo kuna somo behind juu ya aina ya watu wanaotuwakilisha mjengoni! Chukua chako mapema!!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hahahaaaa,wonders shall never end in Tanzani.
 
Blogu ya Wananchi imepata ripoti ifuatayo sasa hivi:- kwamba ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike leo Kempisk Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini amabye amekuwa akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani. Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha Mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mvumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa. Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni kwamba wanataka sana kurudishiwa michango yao.

NUKUU TOKA KWA LEMUTUZ
Mkuu ongezea na hii
''BREAKIN NEWZZZ:- EXCLUSIVE ONLY BLOG YA WANANCHI - MCHUMBA WA MBUNGE WA CCM WA HARUSI YA LEO KUMBE NI TAPELI AINGIA MITINI NA MICHANGO YA HARUSI SOMA HAPA LIVE!!
1. HUU NI UJUMBE WA MBUNGE MMOJA KWENDA KWA MWENZIWE JANA:-"Mamboz? Kesho unajua Vikcy Kamata ilikuwa aoelewe na bonge la harusi hapo Kempisky, kumbe muaoaji ni Mume wa Mtu mkewe kajitokeza na fujo kibao, Jamaa kaambiwa na Padri hawezi kuoa kaingia mitini nasikia Padri kaombwa mpaka na Waziri Mkuu lakini kagoma kabisa kwamba hakuna ndoa, jamaaa katoroka hajulikani alipo ila ni mfanyakazi wa Tigo!! yaani tumesikitika sana maana sasa Vicky yupo ICU"

2. HUU NI UJUMBE WA PILI WA MBUNGE MWINGINE KWA MBUNGE MWENZAKE:- "Wabunge tumechanga mamilioni ya pesa kibao Vicky na jamaa wakaenda China kufanya shopping kumbe lijamaa ni full taperi.....!!!Wabunge wengine walishatangulia Dar kwenye harusi toka jana wapo huko. Yaani imenisikitisha sana lazima Vicky arudishe michango yetu."

Akivipata itafungwa..

Ina maana kwa umri alio nao na imani ya dini yake hakuwa anajua kuwa hivyo vyeti vitahitajika??? yaani mambo mengine ni kichefuchefu na hapo ndio pa kujiuliza, kama mambo ya msingi ya imani yake yanamshinda shida za waTZ ataziweza....masikini TZ!:wave:
 
Yaani,asikwambie mtu bado Waafrica hasa wanawake hata uwe na cheo gani ndoa ndo inamfanya aheshimike.It seems amefight sana kwa ajili ya ndoa na ukute no mimba no anything,hizo ni stress tu zinamzonga.

hayo ni manjonjo tu...na copying strategy ya stress..huwezi niambia checkup zote na usomi wake asingejua kama ana mimba na itamzingua ashindwe kwenda altareni..huyo anazuga tu! Acheni ndoa iitwe ndoa bana..si mchezo kuipata!:A S 13:
 
Kanisa katoliki wapo makini sana kwenye ndoa,hawawezi kufungisha ndoa mwenye mimba tayari,labda kama ni kurekebisha ndoa na sio kufunga ndoa.
Hiyo kuugua ghafla inawezekana ni baada ya kuambiwa hajakidhi vigezo, kama Paroko alivyoeleza kwenye hiyo habari.
Pole sana Vick jipange upya ikibidi subili upone kabisa na ufuate ushauri wa madaktari usije ikatokea upo hightable.

Mkuu uko sahihi asilimia zote!
Katoliki ukiwa huna cheti cha ubatizo/kipamaira (manake vyote viko kwenye kadi hivi) umeumia..wanakomaa na sheria hawataki ujinga,ila ingekua makanisa mengine flani tunayajua wala hakuna mbaya goma bora liende tu!
 
Jamaa alikuwa anachangamkia fursa!!!
Pole Vicky.
 
hayo ni manjonjo tu...na copying strategy ya stress..huwezi niambia checkup zote na usomi wake asingejua kama ana mimba na itamzingua ashindwe kwenda altareni..huyo anazuga tu! Acheni ndoa iitwe ndoa bana..si mchezo kuipata!:A S 13:

Kweli kabisa alitaka kuforce ndoa inavyoonekana ila asingetangaza kama mnada ameumbuka pabaya kweli!Ni pgo kubwa afanye arudishe michango ya watu.
 
Mmmhhh ina maana anaolewa nani mwanaume aliezaa nae au tena mwingine
 
Hahaaaaaa hajakidhi vigezo vya kuolewa duhh
 
ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike leo Kempisky Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini ambaye amekuwa akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani.

Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha Mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mvumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40.

Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa.

Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni kwamba wanataka sana kurudishiwa michango yao.
 
Vicky kamata akiwa hoi hospital baada ya kuugua ghafla.

attachment.php
 
Yule jamaa ni mume wa mtu.....nilikuwa nashangaa utaratibu wa kanisa kutaka kufungisha ndoa.
 
ile harusi ya the Century
iliyokuwa ifanyike leo Kempisky Hotel baina ya
Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh.
Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na
ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana
kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni
Tapeli wa ajabu hapa nchini ambaye amekuwa
akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na
kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez
wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani.
Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa
Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani
Catholic kwa Wachungaji
waliomfahamisha
Mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la
kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mvumba huyo
bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za
mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40.
Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi
Millioni 100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa
zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk
Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita
walioshiriki kumchagua Mbunge huyo
walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi
ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana
asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba
huyo kwenye simu zake zote zimezimwa
hazipatikani kabisa. Inasemekana baadhi ya
Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa
sana wameanza kulalamika kwa pembeni
kwamba wanataka sana kurudishiwa michango
yao.

...kwenye nyekundu rekebisha...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom