Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
UWT wilaya ya Rufiji wamemvesha rasmi Mbunge viti Maalumu Zanzibar na Mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji na Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Wanu Hafidhi Amir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji katika ukumbi wa FDC Rufiji.
Zoezi la kumvesha vazi hilo limefanyika kwa Uongozi wa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Rufiji Rehema Mlawa na Katibu wa UWT Wilaya ya Rufiji Mariam Mugasha kwa niaba ya akinamama wa wilaya hiyo.
#facebook @ibrak
adabra