Mbunge viti Maalumu Zanzibar Wanu Hafidhi Amir avishwa vazi la Bibititi Rufiji

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
UWT wilaya ya Rufiji wamemvesha rasmi Mbunge viti Maalumu Zanzibar na Mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji na Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Wanu Hafidhi Amir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji katika ukumbi wa FDC Rufiji.

Zoezi la kumvesha vazi hilo limefanyika kwa Uongozi wa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Rufiji Rehema Mlawa na Katibu wa UWT Wilaya ya Rufiji Mariam Mugasha kwa niaba ya akinamama wa wilaya hiyo.

#facebook @ibrak

adabra
 
Inaashiria nini ikiwa umevishwa vazi hilo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
..Dada'ke Abduli.

..huenda Abduli kaishatembeza fedha huko Rufiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…