Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki

#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
 
Huo ndio ukweli sema CHADOMO hampendi ukweli

USSR
 
Hawa ndio kati ya wale waliowekwa bila upinzani wowote, wanaonesha walivyo wabinafsi, kauli ya aina hii inaonesha yeye ni mtu wa aina gani na yupo tayari kufanya lolote ili aendelee kubaki madarakani, keki ya taifa tamu.

Sioni kama katukosea anyway, katuambia ukweli, mbona wanarithishana vyeo hatusemi, tatizo sisi watanzania tumezubaa sana, wameshatujua ni makondoo ndio maana kwa kauli kama hiyo ni sawa na wameanza kutukanyaga vichwani.
 
Real opportunist
Nadhani alisema haya maneno alcoholic blood ikiwa imezidi
 
Hawa ndio kati ya wale waliowekwa bila upinzani wowote, wanaonesha walivyo wabinafsi, kauli ya aina hii inaonesha yeye ni mtu wa aina gani na yupo tayari kufanya lolote ili aendelee kubaki madarakani, anawakilisha mawazo ya viongozi wakuu wa chama chake.

Sioni kama katukosea, katuambia ukweli, mbona wanarithishana vyeo hatusemi, tatizo sisi watanzania tumezubaa sana, wameshatujua ni makondoo ndio maana kwa kauli kama hiyo ni sawa na wameanza kutukanyaga vichwani.
Kitendo walichokifanya kwenye uchaguzi wa 2020 kitaendelea kututesa sana kama wananchi.
 
Mzee pesa imekata mda sana,istoshe kaweka bond magari kwa mdhamini wa ccm ambae anatoa pesa za riba bila kua na kampuni,yani kibaka mzoefu wa dhuluma anaitwa doublecola
“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki

#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
 
Real opportunist
Nadhani alisema haya maneno alcoholic blood ikiwa imezidi
Wameshaleweshwa na madaraka tayari.

Jeuri na dharau ndiyo zimewajaa maana wanajua hakuna wa kuwakemea kwani ndani ya serekali kila mtu anapigania tumbo lake.
 
Mwambie akakomboe gari zake kwa kada doublecola,yani john D kachoka mpka kaweka 4matic na V8 kwa mzee wa riba[emoji16][emoji16]
Huo ndio ukweli sema CHADOMO hampendi ukweli

USSR
 
“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki

#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
wabunge wa michongo mawazo yao yanawakilisha michongo tu! aka keki ya taifa kimchongo
 
Huyo hana anaowawakilisha kwa sababu hajachaguliwa na wananchi ni product ya uhuni wa Magufuli na vikaragosi vyake.
 
Back
Top Bottom