fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Wanashindwa kujua kuwa yanayotokea na wasababishaji huwekwa kwenye kumbukumbu daima. Watoto wao wakizitaka hizo nafasi baadae, wananchi wataangalia historia ya wazazi wao kisiasa na kijamii.Wameshaleweshwa na madaraka tayari.
Jeuri na dharau ndiyo zimewajaa maana wanajua hakuna wa kuwakemea kwani ndani ya serekali kila mtu anapigania tumbo lake.