kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Huo ndio ukweli sema CHADOMO hampendi ukweli“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki
#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
Huo ndio ukweli sema CHADOMO hampendi ukweli
USSR
Huu upuuzi aliutafuta jiwe na sasa unatutesa“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki
#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
Hajawahi kuwa mwana siasa maana ni chaguo la jiweKwa matamshi haya anaonekana si mwana siasa pia hajielewi yeye mwenyewe binafsi.
Kitendo walichokifanya kwenye uchaguzi wa 2020 kitaendelea kututesa sana kama wananchi.Hawa ndio kati ya wale waliowekwa bila upinzani wowote, wanaonesha walivyo wabinafsi, kauli ya aina hii inaonesha yeye ni mtu wa aina gani na yupo tayari kufanya lolote ili aendelee kubaki madarakani, anawakilisha mawazo ya viongozi wakuu wa chama chake.
Sioni kama katukosea, katuambia ukweli, mbona wanarithishana vyeo hatusemi, tatizo sisi watanzania tumezubaa sana, wameshatujua ni makondoo ndio maana kwa kauli kama hiyo ni sawa na wameanza kutukanyaga vichwani.
“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki
#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
Wameshaleweshwa na madaraka tayari.Real opportunist
Nadhani alisema haya maneno alcoholic blood ikiwa imezidi
Huo ndio ukweli sema CHADOMO hampendi ukweli
USSR
Huyo unamshangaa wewe ndugu hapa jamvini kila mtu alisha mpiga pini kitamboMbna una akili mbilikimo hv???
Haya majitu yanakera kweeeeriiii kweriiiiiiHuyo ni Polepole wa pili huyo. Amuulize mwenzake sasaiv hali ikoje
wabunge wa michongo mawazo yao yanawakilisha michongo tu! aka keki ya taifa kimchongo“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki
#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
Anawakilisha asilimia 90% ya wanasiasa walioko bungeni.“Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki
#LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd