Wanashindwa kujua kuwa yanayotokea na wasababishaji huwekwa kwenye kumbukumbu daima. Watoto wao wakizitaka hizo nafasi baadae, wananchi wataangalia historia ya wazazi wao kisiasa na kijamii.