AmaniKatoshi
Senior Member
- Mar 31, 2009
- 158
- 14
Crashwise,
Umekuja na maneno mengi matamu ila yenye utata pia.
Ili kuondoa utata huo tunaomba utuwekee huo mchanganuo ulioongeza madiwani wa ccm na aliyetangaza ni nani.
Hii ni kw alengo zuri, tunataka Jf liwe jamvi lenye discussions zenye vielelezo. Udaku na mengoneyo ya aina hiyo tunawachia Shigongo na globalpublishers
Maelezo yako haya hayabadilishi udaku wa maelezo uliyotoa mwanzo.
Lete full information na vielelezo. Hiyo TUME ya CCM inayoongeza DIWANI kwa kigezo kipo na kwa ruhusa ipi? Sisi tunajua anayetangaza hilo ni TUME ISIYO HURU YA NYALALI...lakini hata katika kutetea madudu, ANATANGAZA HADHARANI madudu hayo!
Lete vielelezo