Sasa na hii issue ya Bastola imetoka wapi?????
Hao polisi waliokuwepo ndani,walikuwepo kwa misingi ipi au kanuni zipi?.Je?, kwenye vikao au mikutano ya Bunge huwa polisi wanakuwepo ndani?.Jamani sisi wote kama watanzania inabidi tufike mahali tumwambie Kikwete inatosha kutumia vyombo vya dola kwa maslahi binafsi ya chama chake.Inakera,Inaudhi na Inasikitisha sana tunavyofanyiwa na hawa madikteta wakubwa katika nchi yetu.Lakini ipo siku,si mbali wataona tu.mkuu lema hakutukana ila alianza kuhoji na kutoa tamko kwa madiwani wake kuwa nao wachague meya ili wapepo meya wawili ipatikane nafasi yakwenda kuhoji mahakamani ndipo mkurugenzi akaagiza akamatwe na polisi waliokuwa ndani.
msingi hapa kosa kubwa la kwanza polisi hawaruhusiwi kuwa ndani ya kikao cha concil kwanini kikao cha kikatiba kama cha bunge.
Huo ndio ujuaji usio na maana yoyote... Anastahili kukipata alichokuwa anakitafuta!Heshima kwenu wanjamvi,
Mwenyekiti wa kikao cha uchaguzi wa Meya Bwana E Chang'ah aliamua kufanya mawasiliano na ofisi ya waziri mkuu.Waziri wa nchi Tawala za mikoa na serekali za mitaa alitoa maagizo sheria zifuatwe kwa kuwa idadi ya wajumbe ilifikia nusu mchakato wa uchaguzi ukaendela bila ya wajumbe wa CHADEMA kushiriki kwenye kikao.Wajumbe wa CHADEMA wakajulishwa Meya tayari kachaguliwa wakaamua kuingia kwenye kikao wakiongozwa na Mheshimiwa Mbunge G Lema.Zilitokea purukushani za hapa na pale Lema akachomoa bastola FFU wakmvamia na kumpokonya na kumpiga vibaya sana.
Ndugu zangu,
sasa nchi yetu imefikia pabaya,tumekuwa tukijadili kuwa uchaguzi uliopita haukuwa halali hatakidogo.Jana katika wilaya kadhaa kumekuwa na uchaguzi wa meya ikiwamo halimashahuri za mwanza,Arusha,kilimanjaro,msoma.ukerewe na hai.
cha kushangaza halmashahuri zote zinazochukuliwa na chadema zimepata shida sana ikiwamo kupigwa na kuumizwa vibaya.
Katika mkoa wa Arusha jana waliahirisha na leo viongozi wale wa mji wa Arusha wameamkia katika ukumbi na kukuta CCm wameamka saa kumi usiku na kupiga kura bila kuwaharifu madiwani wa chadema.ndugu zangu hii si halali,ninapoongea sasa Mbunge lema amepigwa na polisi mpaka kupoteza fahamu na bila hata haibu wamemfungia chumbani.
IGP na viongozi wa juu wa polisi wapo Arusha na baada ya kupata taarifa hizi wameacha kupokea simu.
Jamani mimi nafikiri mwisho wa kuionea au kuibembeleza CCM umefika hapa hakuna Democrasia.sheria inasema any election should be free and fair.
NA POLISI HAWARUHUSIWI KUINGIA NDANI YA KIKAO CHA COUNCIL KWANI NI KIKAO KAMA CHA BUNGE.
inasikitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha sana na moyo wangu unamajonzi.
Unaona sasa...! Hata wewe u mwathirika wa ujuaji...
Kibs, huwezi kuleta suh a sweeping statement wakati haki na uhai wa mtu viko hatariniTatizo la ujuaji mwingi...
Lazima tuanze kwa kuchukua hatua za kisheria ili kuthibitisha kwa ushahidi kuwa mahakama zinatoa hukumu za kupendelea.
Yasipofunguliwa mashtaka, hili suala la mbunge kupigwa litakuwa limepita tu hivi hivi kwa kuwa hizo hatua ambazo si za kisheria nazo hazijachukuliwa.
-Basilio MateiJK ana VISASI SANA naona majeruhi wa siasa wanaanza kujitokeza sasa hii HATARI kubwa sana hii
Huo ndio ujuaji usio na maana yoyote... Anastahili kukipata alichokuwa anakitafuta!
Tatizo la ujuaji mwingi...