Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Nilitaka nikugongee thanx lakini ckujua pa kuclick natumia mobile ila umesema kweli hawa ndiyo walewale wenye ukoma wa akiliUko JF miaka mingi lakini naona hakuna elimu iliyokwisha ingia kichwani! Kwa nini?
Mbona hata primary ungekaribia kumaliza.
Sure mkuu, Vitega uchumi vya mafisadi na wakwepa kodi wakuu pia viko hapa, ...wanajenga mahoteli kila siku na kuleta mikutano yote ya kitaifa na kimataifa Arusha ili kujineemesha, lakini wagumu kutimiza jukumu LA KODI...sHIDA YOTE IKO HAPO TU!...Wapinzani hawatakiwi hapa!Nafikiri kesi ya Kigoma na Arusha ni kesi mbili kidogo tofauti.
Kesi ya Kigoma imekaa zaidi kisiasa na uongozi wa NANI ATAWALE.
Kesi ya Arusha imekaa zaidi kibiashara na zaidi ni VIWANJA.
Madudu ya viwanja vya Arusha ni Mazito sana na watu lazime wawe wakali ili wasinyang'anywe ardhi zao.
Ila hizi ni mbio za sakafuni. Ona wengine wanamtisha Waziri Tibaijuka sasa. Huyu mama akija Arusha, watu watalia.
Kuna ile kesi ya Viwanja vya juzijuzi ambavyo nilisoma hata Ridhiwan alipewa. Hiyo na vile viwanja vya Lowassa inaleta jibu moja tu kuwa lazima watapigana usiku na mchana ili Meya atoke CCM na huyu Meya kazi yake itakuwa kulinda Maslahi ya Mafisadi.
Ila Chadema lazima waendelee na utaratibu wao wa kuchagua Meya kama wao ndiyo wenye madiwani wengi. Mji uwe kama kwa wenzetu wenye marais wawili. Labda ndiyo njia pekee iliyobaki dunia hii.
Ahh, msimjali sana Kibunango maana yeye ni Mzenji. Nafahamu kuwa Vita yetu sisi ni furaha kwao. Wakati wao wanachinjwa, anaamini kabisa sisi tulifurahia. Sasa sisi tukichinjwa, kwa nini yeye ASIFURAHI? Nina imani kuwa wengi wa Wazenji wana mawazo kama haya ingawa SI WOTE. Hii ndiyo Tanzania.
Mkuu, unasherehekea mtu kupigwa na chombo ambacho kiko kwa ajili ya usalama wake? Tutafika kweli hivi?
Amandla.......
Mambo yanazidi kuwa Magumu...
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo, inasema Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini ameachiwa huru, na kisha akaanguka na kuzirai mbele ya Ofisi ya mkuu wa Wilaya Arusha.
Ujumbe unasema amekimbizwa katika hospitali ya mkoa ya Mount -Meru akiwa taaban..
Kazi ya Thobias Andengenye aliyemrithi Basilio Matei inadhihirika sasa!
yaani hapa nilipo nimechoka nafikiria kipi cha kuwafanyia hawa ccm ili moyo wangu upone..
Hapa ndugu yangu ni kuamua kwenda kujitoa Muhanga tu kwa ajili ya wengine na utakumbukwa! Huu sasa ni ujinga ambao hatupaswi kuufumbia macho. Mkwere mpumbavu huyu nchi imemshinda, maana tunajiendea tu kama hatuna Rais! By the way Rais mwenyewe ni wa NEC hivyo wananchi tuchukue hatua ya kuwatia adabu hawa CCM!
Aiseee Kumbe Andengenye naye ndo mpumbavu kiasi hicho? Nilimsikia anawaomba waumini pale Moro kwamba wamwombee maana anaenda kwenye mji wenye vurugu nyingi hivyo akawa anawaomba wazidi sana kumwombea ili Mungu ampe nguvu ya kufanya kazi kwa uadilifu. Sasa nashangaa kwa haya aliyokuja nayo! Mji utamshinda huyu!! Na kama ikiwezekana Wana AR hebu mwondoeni huyu kwenye uso wa dunia na wala hakuna atakayehuzunika! Huu sasa ni uchuro tena ni upumbavu ambao hakuna anayeweza kuuvumilia mwonesheni kazi huyo ZOBA!!
ARUSHA msikubali kuwa na Meya wa CCM kama noma na iwe noma piganieni haki yenu wana-AR. Mkwere uliiba kura za Urais, Ubunge na Udiwani na kwenye Umeya nako unataka kuchakachua? Sasa mmezoea, WaTZ hebu tusikubali ujinga huu wa CCM, ikiwezekana tumwage damu wananchi maana kumbe bila hivyo haki yetu itaendelea kudhurumiwa hivi hivi tunaona!
Kuzungumza na kuchochea umwagikaji wa damu na uvunjifu wa amani ni jambo rahisi ww ukiwa mbali na tukio ila likitokea karibu ww huwa wa mwanzo kusepa
Haya mambo ya wanasiasa kutembea na silaha yametokea wapi? Watu kama hawajajifunza ya Ditopile, tutegemee wanasiasa wengine kupata matatizo kama hayo huko mbeleni.
Wanasiasa wana haki ya kujilinda iwapo Dola haipo tayari kuwawekea ulinzi. Kwa hali ya Arusha ilivyo ni muhimu sana kwa Mbunge wa Arusha kuwa na silaha ili kujilinda. Wanasiasa ni watu, wakipigwa wanaumia, wanatoka damu pia!
Wanasiasa wana haki ya kujilinda iwapo Dola haipo tayari kuwawekea ulinzi. Kwa hali ya Arusha ilivyo ni muhimu sana kwa Mbunge wa Arusha kuwa na silaha ili kujilinda. Wanasiasa ni watu, wakipigwa wanaumia, wanatoka damu pia!