naomba mungu amsimamie lema apone kuanguka tena na kuzirai ni hatari inawezekana kuna damu zinavujia ndani,ole wao ccm kama lema atakufa ccm wajue arusha haitakalika tutaanza kwanza na mahakama ya kimbari,police ,aicc,ofisi za mkurugenzi mkuu wa mkoa,wa wilaya,benki kuu na vitega uchumi vya watu wote wenye mahusiano na wana ccm tukitoka arusha tutakwenda mwanza na mbeya ndipo watakapojua hakuna aliye juu ya wananchi
Ni budi Watanzania tuwaambie polisi kuwa imetosha, hawawezi kuendelea kutumika na CCM kama chombo cha kugandamiza Raia. Vyama vya Siasa, wanaharakati, wasomi, na wananchi wote wenye mapenzi mema, kwa vitendo kama hivi tutoe kauli kuwa adui mkubwa wa haki ya Mtanzania ni CCM na polisi. Kila mahali watu watakapoiona CCM na polisi na viashiria vyake wajue wamemwona adui yao. Hata bila ya kufanya chochote, bila ya kufanya vurugu, hiyo itaosha. Hatuwezi kuwazuia kufanya uovu lakini hawawezi kutulazimisha kuwapa ushirikiano wa aina yeyote.
Kama serikali haiwezi kuchukua hatua dhidi ya polisi hao, na tuna uhakika kuwa mfumo wetu wa mahakama hauwezi kutenda haki, basi matukio haya na yanayofanana nayo yaanze kuchukuliwa ushahidi wa kutosha, na mashtaka yafunguliwe kwenye mahakama ya kimataifa dhidi ya Rais kwa kutumia vibaya vyombo vya dola na kushindwa kulinda haki ya Raia wote kwa haki.
Maajabu yalianza kujitokeza hiyo saa 3 asubuhi badala ya wajumbe wa CHADEMA kwenda kwenye kikao cha kumchagua Meya waliamua kufanya kikao Hotel Ikweta mkabala na ukumbi wa manispaa ya Arusha.Mheshimiwa Kivuyo baada ya kuona wajumbe wa CHADEMA hawaingii kwenye mkutano aliamua kuwafuata Ikweta Hotel kuwasihi wahudhurie kwenye kikao kwakuwa bado walikuwa na nafasi ya kushinda kiti cha umeya lakini juhudi zake hazikuzaa matunda wajumbe wa CHADEMA waliendelea kususia kikao cha uchaguzi wa Meya.]
tumuombee apone na ajifunze kufata utaratibu
hivyo vitisho na ujuaji ndio vinavyokugharimuni gharama nzito na nyny wachochezi waongo hamna lolote kazi zogo tu
mnakaanga mbuyu mnawaachia wenye meno kutafuna
Jana tulionya kuhusu watu madiwani wa CHADEMA kutokujihusisha na kitendo chochote kitakachoruhusu uchaguzi ufanyike bila wao kuwepo. Uchaguzi sasa umefanyika na CCM wamechukua Halmashauri na hiyo imetoka.
Diwani wa TLP tayari sasa keshapata unaibu meya.
Narudia tena nilosema jana, CCM wanapotaka kitu na wewe ukaweka mizengwe, ama watakuhamisha, au watakuundia kesi ulale ndani wafanye wanavyotaka au watakutuma usafiri nje ya nchi au watakulaza hospitali kwa nguvu hata kama huumwi ila wapitishe wanachotaka. Nia ya CCM ilikuwa ni kuhakikisha walau madiwani wawili wa CHADEMA hawaingii kwa kikao na hilo wamefanikiwa.
CHADEMA mnapoona kuwa mnaelekea kushinda, mjitahidi sana kutokuwa na hasira. Muepuke kumshikia manati kuku wenu kwani wapita njia wanaweza wakapiga mayowe wakifikiri ni vibaka. Kila jambo lifanyiwe uchunguzi wa kina. Epukeni kumkimbiza kichaa alowanyanganya taulo. CCM inajifanya kichaa ili uikimbize watu wakushangae wakati yenyewe inakamilisha mambo yao. Ukirudi wameshamwaga maji yako na sabuni wamechukua.
Wanasiasa wana haki ya kujilinda iwapo Dola haipo tayari kuwawekea ulinzi. Kwa hali ya Arusha ilivyo ni muhimu sana kwa Mbunge wa Arusha kuwa na silaha ili kujilinda. Wanasiasa ni watu, wakipigwa wanaumia, wanatoka damu pia!
unajastufy kitu cha kipumbavu sana na huna hata uchungu na nchi yako watu wameingiza mamuluki kutoka Tanga wewe unataka watu waingie kupiga kura wee vipi
pole sana
ukweli wenyewe hawakupaswa hata kwenda mahakamani wala kuita diwani mwingine toka moshi kwa sababu Kanuni zinajulikana na ndio mwongozo wa uchaguzi wa Meya wanachofanya ni kwamba Arusha hakutatawalika tumeona hao ukikaa kimya na kufuata ustaarabu hawajui tunataka kuonyesha dunia kwamba wananchi sio madondocha ,tutakula nao sahani moja ,mabadiliko yanaanzia Arusha believe meKwa nini hawakukimbilia mahakamani hiyo jana kumkataa huyo diwani. Kwani huyo mtu wa Tanga leo kapiga kura. CCM walimleta huyo mtu toka Tanga wakijua CHADEMA watasusa na wakishasusa watajipigia kura na utasikia kuwa huyo mtu alikuja kushuhudia uchaguzi. Kwangu mimi haiingii akilini kama inawezekana mtu toka halmashauri nyingine kupiga kura. Kama huo uwezekano upo, CHADEMA nao wangeita toka Moshi.
CCM walimleta huyo mtu toka Tanga wakijua CHADEMA watasusa na wakishasusa watajipigia kura na utasikia kuwa huyo mtu alikuja kushuhudia uchaguzi.