Nyie vyakula vyenu ndo hivyo mnaviharibu marinda. Mna dhambi nyie viumbechakula ya chama
We thubutu, unataka kumjaribu kamanda mbowe??Lema ..wema
Kama alivyotumbua kwenu ccm wakiwa na steve nyerereWema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Kama ilivokuwa ccmchakula ya chama
Ohoooo!!!unamaanisha nini mkuu?haha..nendeni kona bar mkawachukue na wale mana imefungwa
nyie si mnawaharibu naniliu......chakula ya chama