PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
Ohooooo!!!Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Ohooooo!!!Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Ndivyo alivyokuwa "tawala"?chakula ya chama
Ohoooo!!!Kama alivyotumbua kwenu ccm wakiwa na steve nyerere
chakula ya chama
Uvccm chakula ya vigogo,marinda yanatatuliwa tuchakula ya chama
Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Akili zako zinawaza ngono tu
hahahah kawadanganye wajinga Wema yuko Arusha kwa gharama za CHADEMA......nimeona bills zake hotelini zote amelipiwa na CHADEMA......Jinsi ulivyombea aliyekwambia amewnda na ruzuku ya chama nani??Wewe si ndiyo kuiweka Uzi huku Wema yupo Nairobi.
Duh mwanaume mmbeya ni maana kwa wazazi wake.
Weka nakala hapa. Acha maneno kama BASHITEhahahah kawadanganye wajinga Wema yuko Arusha kwa gharama za CHADEMA......nimeona bills zake hotelini zote amelipiwa na CHADEMA......
Big up sana wemaMuda huu Jijini Arusha nyumbani kwa Mjumbe wa kamati kuu na Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na miss wa Tanzania 2006 Wema Issac Abraham Sepetu na Viongozi wa BAWACHA Arusha kwa kumpa pongezi na kujifunza mbinu za Mapambano dhidi ya Dola kandamizi.
View attachment 477034
View attachment 477035
View attachment 477036
View attachment 477038
View attachment 477039
View attachment 477040
View attachment 477043
Hahahaha niliwaza hivyo, lisije likampata la LilianNdoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
Tulia wewe taahira la Jf.hahahah kawadanganye wajinga Wema yuko Arusha kwa gharama za CHADEMA......nimeona bills zake hotelini zote amelipiwa na CHADEMA......