Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

We thubutu, unataka kumjaribu kamanda mbowe??
lema atapata ila asubiri hadi zamu ya kamanda mbowe iishe, ebo!
Kwahiyo unataka kusema James Pumba Mpumbavu naye zamu aliianza yeye wengine wakafuata
 
Vipi jamaa kapataje dhamana mlilegeza au mlilegea?

Maana ujinga wenu hauna aibu
Muache akapumzike miezi minne mingi sana, safari hii akihukumiwa akija kutoka atakuta watoto wake wameongezeka
 
Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Kina DK Slaa na Mushumbusi waliishia kupigwa na kutoka damu kichwani na wakaishia kutukanwa na kuitwa dk mihogo, Leo wema anakula bata na walinzi juu
 
ce2d154a3d0836709e992d874c0cbaba.jpg
 
hahahah kawadanganye wajinga Wema yuko Arusha kwa gharama za CHADEMA......nimeona bills zake hotelini zote amelipiwa na CHADEMA......
Usiumize kichwa, hao na namba moja wao wote mabogas tu, inabidi uwe na akili za ziada kuamini PhD hajui ngeli hata kwa dakika 2 wakati kasoma kuanzia f4 hadi PhD kwa ngeli, ila PhD huyu anashindwa kusimana na mtu aliyetoka kwa Ras Simba
Weka nakala hapa. Acha maneno kama BASHITE
 
Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Dah inauma Sana Ni Ben saa nane wamemshamsahau kabisa
 
Back
Top Bottom