Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Comrade upo chama gani siku hizi?
Nakumbuka ulikuwa ccm hapo mwanzo,ukaondoka na Lowassa lakini baadaye ukarudi ccm,Mwishoni mwishoni nikakusikia ukitofautiana na Mwenyekiti wako wa chama,sasa najiuliza wewe ni mchezaji huru ama lah?