cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
......
......weeehhh mjanelism hujalala
Shame on wuuuuu
......
......weeehhh mjanelism hujalala
sawa agnes masoganger
Vyovyote utavyosema picha iko loud and clearWivu tuu unawasumbua na mawazo yenu ya kingono
na akina malisa gj..Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
Ndoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
Wema sio kichwa kihivyo ila anatosha kuwapa kadhia ccmShauku yangu sasa ni kujua je wale followers wake wanaozidi milioni mbili Kule Instagram wameanza kumfuata na wangapi wametangaza rasmi kuhamia CDM kumfuata Wema...!?
Jamii Forum
WhatsApp Groups
N.k
Wale mashabiki wake 5000, wale Wanafamilia 70, aliosema Mama Wema wapo waliohamia mpaka sasa...!!???
Nakumbuka tulikuwa na mjadala motomoto kuhusu Wema kuhamia CDM na faida, wengine wakiuliza ni Asset au Liability
Naomba mrejesho tafadhali
Ndio sbu kila uozo wa ccm chadema ni almasi hata hamna aibu...na wewe na akili yko timamu unaona ni dili huku chama kikikosa kile kinachopigania...hata akija Chenge utakuwa wa kwanza kumuita kamanda..shame on you!Imewauma sana tuu
......Wivu unao wewe uliyeni quote na habari na picha zinazowekwa public.
....Shame on wuuuuu
Ukipata jibu nishtueShauku yangu sasa ni kujua je wale followers wake wanaozidi milioni mbili Kule Instagram wameanza kumfuata na wangapi wametangaza rasmi kuhamia CDM kumfuata Wema...!?
Jamii Forum
WhatsApp Groups
N.k
Wale mashabiki wake 5000, wale Wanafamilia 70, aliosema Mama Wema wapo waliohamia mpaka sasa...!!???
Nakumbuka tulikuwa na mjadala motomoto kuhusu Wema kuhamia CDM na faida, wengine wakiuliza ni Asset au Liability
Naomba mrejesho tafadhali
......
......haya njoo na wewe Chadema
....
.....ukweli unauma eehhh
Muda huu Jijini Arusha nyumbani kwa Mjumbe wa kamati kuu na Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na miss wa Tanzania 2006 Wema Issac Abraham Sepetu na Viongozi wa BAWACHA Arusha kwa kumpa pongezi na kujifunza mbinu za Mapambano dhidi ya Dola kandamizi.
View attachment 477034
View attachment 477035
View attachment 477036
View attachment 477038
View attachment 477039
View attachment 477040
View attachment 477043
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akimshauri Wema Sepetu nyumbani kwake alipoenda kutembelewa.
Almanusura ningedhani ni nyumbani kwa kamanda kufuatia rangi za nyumba karibu zifanane tofauti ni paa, kwa Lema ni bati ya decra kutoka Australia kupitia South Africa na kutua nchini kupitia Nabaki Africa, wakati hapo Makamanda walipo kiezekeo ni kigae.Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.
Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502
Sent using Jamii Forums mobile app