ohoooooooo!Huyo binti sepetu kapendeza sana huwa hakosei kwenye mavazi.
ohoooooooo!Huyo binti sepetu kapendeza sana huwa hakosei kwenye mavazi.
Kumbe unaongeaga ujinga....chakula ya chama
Ni wewe tu,ukiona hata kuku anapita utasema jogoo.Mke mwema ni yule anayethamini ndoa yake,na Lema amesema ana mke mwema na angetakiwa kuoa tena angemuoa Neema Lema.Pole sana meseje imewafikia wale wapiga vigelegele
sawa agnes masogangerMmmmmmmmh
Usini quote tena, jiheshimu.
Kwa kweli hilo jicho la Lema. Mhh mi sipo.......Ndoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
Abariki criminals!?Mungu ibariki Chadema .
Kwa kweli hilo jicho la Lema. Mhh mi sipo.......
wambea mpo wengiUkicheki ni almost limekata kona. Imenikumbusha Obama alipokaa jirani na rais mwanamke wa nchi flan ya scandinavia kama niko sahihi
kama alivyokuwa anakula za CCM mpaka mkamdhulumu pesa zakeWema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
wambea mpo wengi
alipokuwa kwenu, alikuwa chakula ya nani? naomba majibuchakula ya chama
....
.....acha Wivu wa Nyegere Jeshi halilei . ....linakuza tu
Sawa mwerezi wa Lebanonmungu amempa lema moyo uliopondeka ndio maana anaendelea kustawi sawa na mti uliopandwa kando ya mto
Acha wivu wa kikeWema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana