Kaka
JF-Expert Member
- Nov 22, 2006
- 745
- 373
hahahah kawadanganye wajinga Wema yuko Arusha kwa gharama za CHADEMA......nimeona bills zake hotelini zote amelipiwa na CHADEMA......
Mkuu
Weka ushahidi hapa tuwaumbue...
Kaka ...
hahahah kawadanganye wajinga Wema yuko Arusha kwa gharama za CHADEMA......nimeona bills zake hotelini zote amelipiwa na CHADEMA......
We kagua tu hizo picha mkuu. Pengine labda ni ukame wa kukaa jela. Ujue ukitoka kila binti unamshangaa unaona malaika. Sembuse WemaAkajibu nini mkuu?
?HUU SASA USENGEREMA!
We nawe hufuatilii mambo. Alimuachia mwanae anaitwa Husein km sikosei. Kama ulidhani unanitukana unakosea. We tizama Lema anachokiangalia ndo utaelewaSheh Yahya utabiri alimwachia mke wake Sasa naona na ww cjui ulikua mke mdogo kwa kutabiri uko?
Mwanaume makini mwenye upendo wa kweli awezi kuvunja amri ya 9,10 za Mungu.
Ila umesababishwa na mleta picha. Ambae nae lasababishwa na uangaliaji wa Lema. Ambae nae kasababishwa na Wema kwenda kwa Lema. Muda utaongeaMtazamo wako hasi!
FafanuaWewe ndo Neema Lema?
Wema siku hizi ana gari kapewa na Chadema, na dereva juu anayevaa mavazi ya Chadema. Picha za jana hizo nimeziona mahala nami niewaletea mzione kama bado hujaziona. Anatanua balaa cheki pozi....wana Chadema oyeeeeeee mumshangilie.
View attachment 477140
View attachment 477141
Mkuu ulijuajuaje size ya mtaimbo wake [emoji28]Wema chonde chonde nakuomba na ndoa za watu, maana nakujua Dada angu, lema katoka jela juzi tu hivyo ukimchekea kidogo tu atakumanua mpka usahau visharibaro vyako vikina idris na atakutia huyo mimba huyo, nasikia mtalimbo wake sio wa nchi hii, sasa wewe jichekeshe hapo urudi dar na mimba
Ameshakwambia hata angepewa nafasi nyingine ya kuoa bado angemuoa Mke wake.Imekula kwako.
Utasubiri sana.Unapenda ubuyu utachonga viazi.
Ameshakwambia hata angepewa nafasi nyingine ya kuoa bado angemuoa Mke wake.Imekula kwako.
Utasubiri sana.Unapenda ubuyu utachonga viazi.
Wema siku hizi ana gari kapewa na Chadema, na dereva juu anayevaa mavazi ya Chadema. Picha za jana hizo nimeziona mahala nami niewaletea mzione kama bado hujaziona. Anatanua balaa cheki pozi....wana Chadema oyeeeeeee mumshangilie.
View attachment 477140
View attachment 477141
Nawe unataka gari na dreva kamanda!?
Ndugu upo? Napita pita jamvini sikuoni kabisa.Huyo nahisi atarudi CCM tu....tena huenda ikawa kabla ya 2020!