Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Wema chonde chonde nakuomba na ndoa za watu, maana nakujua Dada angu, lema katoka jela juzi tu hivyo ukimchekea kidogo tu atakumanua mpka usahau visharibaro vyako vikina idris na atakutia huyo mimba huyo, nasikia mtalimbo wake sio wa nchi hii, sasa wewe jichekeshe hapo urudi dar na mimba
Hhahahahahahdh hahahah warumi pumbavu sana hahahahahahahhahh[emoji14] [emoji3] [emoji3] toka hapa[emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
don't exaggrate binamu loohh!
wema asifatane na mwanaume anamtaka ..

leave her alone!!!hahaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wema chonde chonde nakuomba na ndoa za watu, maana nakujua Dada angu, lema katoka jela juzi tu hivyo ukimchekea kidogo tu atakumanua mpka usahau visharibaro vyako vikina idris na atakutia huyo mimba huyo, nasikia mtalimbo wake sio wa nchi hii, sasa wewe jichekeshe hapo urudi dar na mimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
KUNA WATU WANAMUHOFIA SANA ZITTO NDANI YA CHADEMA KULIKO WEMA SEPETU.
KUWENI MAKINI, SHE IS NOT THERE ACCIDENTALLY.
 
Wema chonde chonde nakuomba na ndoa za watu, maana nakujua Dada angu, lema katoka jela juzi tu hivyo ukimchekea kidogo tu atakumanua mpka usahau visharibaro vyako vikina idris na atakutia huyo mimba huyo, nasikia mtalimbo wake sio wa nchi hii, sasa wewe jichekeshe hapo urudi dar na mimba
acha matusi , ulaaniwe ufe usiku huu
 
Hiyo pocha namba 3 vip hapo kwenye zipu ya kamanda Lema..?
Au mama Lema hajatekeleza majukumu yake tangu kamanda arud mahabusu..?
 
Hivi hayo makalio ya Wema ni original? Kama ni original na Mimi naomba kadi ya uanachama wa Chadema nijiunge huko kumfuata mlimbwende maana dah hatareeee huo mzigo
 
Wema chonde chonde nakuomba na ndoa za watu, maana nakujua Dada angu, lema katoka jela juzi tu hivyo ukimchekea kidogo tu atakumanua mpka usahau visharibaro vyako vikina idris na atakutia huyo mimba huyo, nasikia mtalimbo wake sio wa nchi hii, sasa wewe jichekeshe hapo urudi dar na mimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama kuna mtu alimshauri Sepenga aigeuze hii misery kuwa opportunity, basi huyo mshauri ana akili sana. Kama namuona Sepenga bungeni vile!!!
By the way.....Stiev Nyerere katudhalilisha wanaume wa Dar.
 
Back
Top Bottom