Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Mi nimeelewa mjengo wa bwana Lema. Upo classic sana!
 
Wema chonde chonde nakuomba na ndoa za watu, maana nakujua Dada angu, lema katoka jela juzi tu hivyo ukimchekea kidogo tu atakumanua mpka usahau visharibaro vyako vikina idris na atakutia huyo mimba huyo, nasikia mtalimbo wake sio wa nchi hii, sasa wewe jichekeshe hapo urudi dar na mimba
.....
.....Hayo maneno msemee Mama yako akiyapenda yarudie mara tatu tatu tukumwagie Like nyomi
 
uyu bwege anaona sifa kukaa jela.hilo tako limefika mahala pake binti kaamua kuhamishia usanii kwa wanasiasa
 
....
....hahaha Kamanda umevunja bendi....nyambafu sana hao yamejaa wivu mpaka makunyanzi
Nyang'au hilo linamuonea wivu Mtoto wa watu.
Juzi eti likawa linalalamika Why Wema ana Bodyguard now,tukaliambia likamwambie Bashaake nalo alilinde liache kuingilia Mahaba ya watu
 
Nyang'au hilo linamuonea wivu Mtoto wa watu.
Juzi eti likawa linalalamika Why Wema ana Bodyguard now,tukaliambia likamwambie Bashaake nalo alilinde liache kuingilia Mahaba ya watu
.....
....hahahaha hatakwenye kilabu cha chang'aaa halikubaliki
 
Hapa ndo Elimu ya Viongozi na majamaa ya juu huko CCM inapoonesha ukamilifu wake!

CCM wanawashinda hapo tu, wanajua sana kutumia akili na kucheza na upepo...

Walimleta Lowassa upinzani bila ya CDM kujua kuwa hakuna kitu kinachotokea bila reason, sasa wamemleta na Wema!!!

Na wataendelea kuletwa, mpaka 2035 Makonda nae atapokuwa tayari kuwa Rais[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakaribisha mapovu ya OMO na TESA, jamaa mche haina povu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji111] [emoji12]
 
All in all mke wa Lema awe all eyes!Wema anaweza kuji LEWEMA ikawa taabu
 
All in all mke wa Lema awe all eyes!Wema anaweza kuji LEWEMA ikawa taabu
Kabisa kamanda, na ukumbuke hapo wameshabadilishana namba kwa hivyo wa kuchat tu 'lov u' 'miss u'
hata hivyo kamanda lema akifanya hivyo hakika atakuwa kamuudhi kamanda wa anga mbowe!
 
Na kweli inabidi amuoe maana wamekutana wakiamua jambo wanashirikiana kama walivyoamua kumtusi yule shoga ya Neema

Jiulize yule Shoga wa Neema alifuata nini kwenye simu ya mke wa mtu??Ukipata jibu hautauliza tena
 
Mi sjui ila huo uangaliaji una utata kidogo.

Ni wewe tu,ukiona hata kuku anapita utasema jogoo.Mke mwema ni yule anayethamini ndoa yake,na Lema amesema ana mke mwema na angetakiwa kuoa tena angemuoa Neema Lema.Pole sana meseje imewafikia wale wapiga vigelegele
 
Back
Top Bottom