Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Jul 5, 2023 #21 SOVIET UNION said: Misaada kwa wanyonge, badala mkomae na sera nzuri za nchi mnashabikia samaki wa kupewa? Click to expand... Na misaada tunahitaji
SOVIET UNION said: Misaada kwa wanyonge, badala mkomae na sera nzuri za nchi mnashabikia samaki wa kupewa? Click to expand... Na misaada tunahitaji
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Jul 5, 2023 #22 Bejamini Netanyahu said: Kaskazini hakuna watu wapumbavu 95% ni wajanja, kwani asitoe dawa na vifaa tiba kukinga vifo? Click to expand... Unamchaguliaje mtu msaada wa kutoa? Angetoa madawa mngesema hamtaki mnataka chakula
Bejamini Netanyahu said: Kaskazini hakuna watu wapumbavu 95% ni wajanja, kwani asitoe dawa na vifaa tiba kukinga vifo? Click to expand... Unamchaguliaje mtu msaada wa kutoa? Angetoa madawa mngesema hamtaki mnataka chakula
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 5, 2023 #23 Demi said: Unamchaguliaje mtu msaada wa kutoa? Angetoa madawa mngesema hamtaki mnataka chakula Click to expand... Kuzika ndiyo kipaumbele? ipo kwenye ilani ya CCM?
Demi said: Unamchaguliaje mtu msaada wa kutoa? Angetoa madawa mngesema hamtaki mnataka chakula Click to expand... Kuzika ndiyo kipaumbele? ipo kwenye ilani ya CCM?
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Jul 5, 2023 #24 Bejamini Netanyahu said: Kuzika ndiyo kipaumbele? ipo kwenye ilani ya CCM? Click to expand... Wapo watakao nufaika na huo msaada, kwani si mengine anafanya kutekeleza ilani?
Bejamini Netanyahu said: Kuzika ndiyo kipaumbele? ipo kwenye ilani ya CCM? Click to expand... Wapo watakao nufaika na huo msaada, kwani si mengine anafanya kutekeleza ilani?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 5, 2023 #25 Demi said: Wapo watakao nufaika na huo msaada, kwani si mengine anafanya kutekeleza ilani? Click to expand... Nani ulisikia ameshindwa kuzikwa Arusha kisa gari la kubeba maiti?
Demi said: Wapo watakao nufaika na huo msaada, kwani si mengine anafanya kutekeleza ilani? Click to expand... Nani ulisikia ameshindwa kuzikwa Arusha kisa gari la kubeba maiti?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 5, 2023 #26 Ila viongozi wa hii nchi, ni kisangaa tupuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Nov 27, 2023 #27 Naibu Waziri mteule