Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
โNa (wakumbuke) Lut alipo waambia watu wake: Je! Mnafanya uchafu ambao hajawatangulia wowote katika viumbe? Hakika nyinyi mnawaendea wanaume kwa tamaa badala ya wanawake. Bali nyinyi ni watu mnaopita mipaka.โ
Nani kaulizia ushoga hapaKatika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijmaโ (makubaliano ya wanazuoni).
1. Qur'an
Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:
Surat Al-Aโraf (7:80-81):
2. Hadithi
Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:
Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
โMtume (s.a.w.) amesema: โYeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.โโ
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah โ hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).
3. Msimamo wa Wanazuoni
Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:
Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.
Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya taโzir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).
Shafiโi: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.
UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
Mmeyataka wenyewe kwa kutotumia akili.Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania.
siyo dhalau tu bali ni uzalilishaji uliyopitiliza kwa taifa na watanzania kwa ujumla.kumbe hawataki tuzaliane kwa wingi,wanasingizia eti hali za afya za watanzania ni mbaya, wanasingizia wizara ya afya kuwa imeiba hela za misada, eti sisi ni maskini wa kutupwa.Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania.
Huyo n team lumumba anajarib kubadili madaNani kaulizia ushoga hapa
Omba omba halafu unataka kuheshimiwa??Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania.
Hawana kingine ,utadhan wahusika wanataka ushoga nchini.Hivi kwa nini wakiambiwa ukweli wanakimbilia Ushoga na Usagaji๐๐๐
Sasa kama kweli wanapiga mbona sijawahi kusikia Rais au bunge linasema katika Nchi ya Tanzania kuanzia sasa Mashoga wote wauliwe ๐๐๐fa mshezo na misaadaHawana kingine ,utadhan wahusika wanataka ushoga nchini.
Wakiulizwa logic wanajibu hisia that how IQ zao zipo
Nilitegemea atasema washushe viwango vya posho za wabunge vifanane ni mishahara ya watumishi wengine ili kubana matumizi holelaMwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.
Msipindishe hoja, mmeua, mmedhurumu na mmetesa wapinzani kiasi mmegeuza kuwa burudani, bila kuua hamuoni raha. Wazungu wanaochangia bajeti bila nyie kuda wanaingilia kazi ya mama kutoa pesa hivi sasa wanasikitishwa kuona ruzuku wanazotoa zinatumika kununua fimbo za umeme za kuwachapia wapinzani!Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.
Sahani yako ya ugali ikiguswa na una njaa unaweza kuua hata mtu hata kama ni weweHivi kwa nini wakiambiwa ukweli wanakimbilia Ushoga na Usagaji๐๐๐
Kisa wamehoji? Dah nchi ina safari ndefu sana ๐๐Bunge la Ulaya limekua kama kikao cha Kitchen party